TANZIA Teddy Mapunda Afariki Dunia hospitali ya Aga Khan Dar

Jibane utajirike...umeona sasa?
 
Nimekudharau....ungeandika bila kutumia lugha ngumu na ya kuhudhi ungepungukiwa nini. Sawa mimi mshamba nimesema kutokana ninavyomjua kuwa ananyumba nzuri. Angekuwa na kiwanda ningesema pia.
Ukisema inasaidia nini?
What is nyumba bwana!!
Wewe una miliki nini?
 
Hahaha....tufarijiane
 
Apumzike Kwa Amani
Kumi La La Tatu Na Iftari
 
Afanyiwe autopsy. Maana mazingira ya kifo yanatatiza. Kutoka kula futari mpaka kifo?
 
Nafikiri ,itakuwa heart attack,kutokana na kufunga Siku nzima.Mwili umekaa bila chakula siku nzima.Unapoonza kula lazima ,kuna mshituko wa mishipa na moyo utatokea.Kabla wengi hawajafunga ni muhimu kupima afya .
Alikuwa amefunga,kwani Teddy ni jina la kiislamu...?
 
Una chuki na Rais ,eti vingereza vya mama Suluhu, mnaumia sababu magufuli kingereza kilimshinda kabisa kabisa, alitamani kingekuwa mtu akipe case ya money laundering
[emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kina lake ni Tedy, yeye na futari wapi na wapi,Vigo vingine ni vya kujitakia.
 
Aisee!!

Dada Teddy kaondoka!! Kweli kifo ni fumbo mwanadamu kaumbiwa...

Alikuwa na moyo mzuri sana huyu dada, apumzike kwa amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…