Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Aliwahi fanya kazi dstv ,tbl, kama sikosei..alikua meneja masoko..so kwenye media alitrend sanaNauliza tu Mkuu
Kwani ni nani huyu
Alijua kujipamba kwa pete na mikufu
Kula futari Serena Hotel well Mungu tumwogope
Amemaliza mwendo
Wenye 'Akili' pana tu wameshanielewa.Mbn uelewek mkuu
bolivia pekee ndiyo hajanielewa hasa.Code nimezifungua. Uko vizuri. Possibly
Tajiri huwa ana muda wa Kumkumbuka Masikini Mkuu?Baada ya kurudi hispania vp alikupa ajira
Nauli ya Dar es Salaam hadi Nzega Tabora ni Shilingi ngapi kwa Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhan Wakuu?R.I.P dada. Ikute uliwekewa sumu kwenye sahani yako.
Unataka uende kwenye mazishi ?Nauli ya Dar es Salaam hadi Nzega Tabora ni Shilingi ngapi kwa Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhan Wakuu?
Tajiri huwa ana muda wa Kumkumbuka Masikini Mkuu?
Nataka Kufuata tu Sumu ya Viuwatilifu.Unataka uende kwenye mazishi ?
Hapo juu kuna maelezo kidogoUmeandika kama kila mtu anamjua.
Au kupata futari Serena ndio ajulikane na kila mtu?
Ndio hivyoSijawahi kumsikia, R.I.P
Heee !!!Aliyemuwekea Sumu anataka Kupunguza Ushahidi Muhimu kuhusu Tuhuma zake akiwa Wizarani.
Mbona ni kama ndoa ya waziri mstaafishwa ikaingia dosari.Nauli ya Dar es Salaam hadi Nzega Tabora ni Shilingi ngapi kwa Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhan Wakuu?
Mbona ni kama ndoa ya waziri mstaafishwa ikaingia dosari.
Hatakama angekua chawa ,chawa niyeye pekeake?Mimi nakua kama sio chawa banahahaha alikuwa anakuzibia nn