Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Aliwahi fanya kazi dstv ,tbl, kama sikosei..alikua meneja masoko..so kwenye media alitrend sanaNauliza tu Mkuu
Kwani ni nani huyu
Alijua kujipamba kwa pete na mikufu
Kula futari Serena Hotel well Mungu tumwogope
Amemaliza mwendo