TANZIA Teddy Mapunda Afariki Dunia hospitali ya Aga Khan Dar

TANZIA Teddy Mapunda Afariki Dunia hospitali ya Aga Khan Dar

Kaumwa ghafla daah
Atakuwa alipaliwa na mfupa, anyways kifo hakina huruma jamani! Pamoja na CV kubwa namna hio ila still Israel kafanya yake...Hapo hamna jinsi zaidi ya kumu wish mapumziko mema!

Wale mnaosema siri ya utajiri ni kula dagaa endeleeni tu! Acha wengine tuendelee kula kuku tu kama ipo ipo! Kifo kipo mpaka mahotelini 5 star
 
Wazee wa kuandaa Iftar wamemfanyizia, sumu hiyo mazee
Duh sidhani kama ni rahisi hivyo! Kwanini wamtilie sumu na ni hotelini! Huenda ni heart attack tu
Wangemkimbiza Muhimbili. Aga Khan is overrated.

Emergency room ya Aga Khan wamejaa watoto wanafanya residence, bado wako shule! Na si kwamba kuna supervisor mbobezi anawaangalia hapana, hao vijana ndio wame take over hapo reception desk ndio wanakupokea na kuku handle mwanzo mwisho na Viingereza vya Mama Suluhu, usipokufa ndio utamwona daktari wa ukweli anapita saa nne usiku...

Halafu kila daktari kijana anaepita pita ukimhoji kuhusu hali ya mgonjwa na response ya matibabu anakwambia maamuzi ya kubadili dawa /approach ni mpaka daktari wako apite kesho asubuhi! Sasa wewe umejipitisha kufanya nini?
Aga Khan sijui watu wanapapendea nini! Pale hamna shughuli sikuhizi zaidi ya biashara tu! Hospitali yenye majengo makubwa ila madaktari hamna kabisa! Vijana vijana ni wengi ambao hata uzoefu hawana.

Ni ile kutaka ufahari ndio inatugharimu ila kwa cash muhimbili kuna huduma bora mno na madaktari wazuri kuliko aga khan!
 
Watu wanapadharau muhimbili sababu ya reputation ya nyuma. Ila kipindi cha magufuri, muhimbili imewekwa sawa.
Yeah MNH ipo on track sahizi! Ma Specialist wote wako pale! Watu wanakimbilia Aga Khan kwa sababu ya reputation yake ya miaka ya 90 ila kwa sasa hamna lolote pale zaidi ya money wasting!

Huduma za hovyo tu na gharama iko juu sana! Unaweza kulazwa siku moja ukaacha milioni kwa ishu ya kijinga kabisa!
 
Nafikiri ,itakuwa heart attack,kutokana na kufunga Siku nzima.Mwili umekaa bila chakula siku nzima.Unapoonza kula lazima ,kuna mshituko wa mishipa na moyo utatokea.Kabla wengi hawajafunga ni muhimu kupima afya .

Hii inaitwa Kibongo bongo.

Kwani postmortem ripoti inasemaje hadi mafikira yenu yawe na nafasi kwenye mambo yanayoweza kufahamika pasi na shaka?

Ndiyo maana mabomba ya kwenye miradi ya maji usiku yanapeperushwa kama ndege kichawi.

Ashindwe aliyefanikisha ushirikina wa kina msukuma msukuma kujitanabaisha kuwa ati nao ni bora kuliko sayansi.
 
Wangemkimbiza Muhimbili. Aga Khan is overrated.

Emergency room ya Aga Khan wamejaa watoto wanafanya residence, bado wako shule! Na si kwamba kuna supervisor mbobezi anawaangalia hapana, hao vijana ndio wame take over hapo reception desk ndio wanakupokea na kuku handle mwanzo mwisho na Viingereza vya Mama Suluhu, usipokufa ndio utamwona daktari wa ukweli anapita saa nne usiku..
ile hospitali ya wahindi waswahili mnaenda kufuata nini?
 
Naskikia katika kipindi cha miaka mitano iliyopita Muhimbili imeimarika kuliko hospitali yoyote nchini. Nadhani Aga Khan bado inatumiwa kwa sababu ya pride tu kuwa anayekwenda pale ni mtu mwenye hela!
Kwangu Mimi muhimbili ni best hospital ever in TZ ingawa mlolongo unakuwa mrefu lakin diagnosis ya uhakika .....huku kwingine unakutana na watoto ndo wako field sijui .....wengine wenye basics za mambo ya afya anapokushaur unaona kabsa huyu hajaiva
 
Back
Top Bottom