TANZIA Teddy Mwanambilimbi hatunaye tena

Status
Not open for further replies.
Lutifya, hawa ni watoto wa juzi! I can see your english is good! Ni kipimo kimoja wapo kuwa ulisoma enzi zetu!
 
Uko sahihi. Baada ya kufukuzwa shule Ifunda alitafutiwa shule Moshi Tech.sec school. Baba yake mzee Mwanambilimbi alikuwa Mkurugenzi wa Kampuni fulani ya Umma by then....
Namfahamu mno kwani tulikuwa wote bweni 27 wing ya mkwawa na darasa moja. How could I forget him mtu aliyekuwa anakusuport sukari na colget pamoja na sabuni na mafuta ya Vaseline badala ya shanti?
 
Jina Baya umponza mwenye nalo utaitaje kiwanda Nyumbu kwanza ethics za nyumbu kwanza!!....hivyo kiwanda kingekufa mambo ya kujifanya uzalendo na kutukuza mbuga ni upofu.
Mkuu jina siyo baya ila tatizo wewe umefananisha na wale wafuasi wanaoitwa nyumbu.
 
Namfahamu mno kwani tulikuwa wote bweni 27 wing ya mkwawa na darasa moja. How could I forget him mtu aliyekuwa anakusuport sukari na colget pamoja na sabuni na mafuta ya Vaseline badala ya shanti?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hata Ifunda chumbani kwake ilikuwa sherehe mikate ya Siha haikosekani wakati wengine mnapanga foleni ya Nyuka a.k.a uji usio kuwa na sukari. Essentially he was quite a humble guy.....
 
Uko sahihi. Baada ya kufukuzwa shule Ifunda alitafutiwa shule Moshi Tech.sec school. Baba yake mzee Mwanambilimbi alikuwa Mkurugenzi wa Kampuni fulani ya Umma by then....
Pia aliwahi kuwa mkuu wa wilaya mzee mwanambilimbi
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hata Ifunda chumbani kwake ilikuwa sherehe mikate ya Siha haikosekani wakati wengine mnapanga foleni ya Nyuka a.k.a uji usio kuwa na sukari. Essentially he was quite a humble guy.....
Mwenye taarifa za wapi msiba ulipo au mazishi yatafanyika lini atujuze tukatoe heshima za mwisho.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…