TANZIA Teddy Mwanambilimbi hatunaye tena

Status
Not open for further replies.
Wazo zuri. Lakini kumbuka mradi uko chini ya JWTZ
hahaha wewe jamaa upo very smart.....umemweka wazi kuwa project ipo chini ya JWTZ ili asipate confidence ya kuhoji zaidi.

NB:
masuala yoyote yanayohusiana na jeiwii huwa hayahojiwi hovyohovyo.

rejea kile kivuko kibovu kilichowahi kununuliwa na mkuu fulani alipokuwa waziri na hatimaye kukabidhiwa jeshini.... mpaka leo hakuna anayethubutu kuhoji. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wewe hiyo ni philosophy ya kihaya, not universal! (Eibara libi lita nyinalyo)

Labda uko sahihi, Japan katika chuo kikuu kimoja kuna jamaa anaitwa Lucifer huyu ndiye programmer wao mkuu na aliyebobea kabisa. Sasa kwa wakristu hilo jina ni baya sana
 
Mna bahati tuko JF, tungekuwa ukumbi wa VETA Mwanza mgenitambua na kejeli hizi.
Kwan uongo,walijitahid lakin.....mzee wangu alikuja nacho cku moja kutoka jeshini akikunja huku kinakunja kule.....

Na mm nlifanikiwa kuiga huo mfumo wa kona kwenye gari langu la mbao utotoni....nlikua nakunja kamba ya kona mfumo wa x, nkikunja huku inakunja kule.......

Ahahahah inapendeza sanaaa
 
R.I.P Mwenyenzi Mungu awape nguvu wafiwa katika kipindi hiki kigumu na ampokee mja wake
 
Mwenye taarifa za wapi msiba ulipo au mazishi yatafanyika lini atujuze tukatoe heshima za mwisho.
Uko Mbezi Beach, ila ukifika Tanki Bovu uliza tu, wanajulikana sana kule..
 
Mzee wa goba
Kwa Mzee wa konyagi, Pembe, Kunguru, Kanisani Katoliki, mpaka kwa kwa marehemu..baba yao alikuwa ni Mkurugenzi wa Shirika la Umma ( wako wachache sana), hakuiba wala kufanya Ufisadi wa aina yoyote, wametulia kule...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…