Tegemea hili kutokea juu ya Tundu Lissu hivi punde

Congratulations gentleman,
upotoshaji at it's best wakati mahabusu akiinjoy mandhari nyingine mpya ya korokoroni katika gereza la ukonga kulingana na mahitaji ya physical condition ya mshukiwa πŸ’
Ipo siku utafungwa jela na hakuna atakayekutetea.
Acha kufuahia mabaya yakiwapata wenzako.
 
Ipo siku utafungwa jela na hakuna atakayekutetea.
Acha kufuahia mabaya yakiwapata wenzako.
Gentleman,
uhalifu ni uhalifu tu, hayupo alie juu ya sheria Tanazania,

na hakuna nafasi ya kukenua na muhalifu yeyote πŸ’
 
Unawezaje kumtofautisha the so called mwenye nchi na yanayoendelea.

Kifupi umekuja kumsafisha, asiyesfishika, kaua wengi sana mpaka sasa kwa kuendeleza tamaa za madaraka.
 
Wewe siulisema umeshaacha tabia yako ya ushoga !! Mbona sasa umerudia tena tabia yako?

Hata hao wenye imani na Mungu ni ndio hao waliouza Bandary kwa DP - Dunia
 
Sikio la kufa haliskii dawa. Laiti ningalijua, lakini tayari katika hali ya kuchelewa. Ee Mwenyezi Mungu nisaidie hizi pamba zinitoke maskioni ili niweze kusikiliza ushauri wa busarar toka kwa Madaktari bingwa kwa ajili ya usalama na uhai wa MWILI wangu.
 
Nilichoongea Jana hatimaye KIMETIMIA.... LISSU YUPO UKONGA KWASASA... TISS WANAMPA MAXIMU SECURITY KITU AMBACHO UPANDE WA PILI HAWAKIPENDI... IN SHORT ANAISHI KAMA MFALME NA NI FULL STORY NA WATU WA USALAMA MUDA WOTE
 
Nilichoongea Jana hatimaye KIMETIMIA.... LISSU YUPO UKONGA KWASASA... TISS WANAMPA MAXIMU SECURITY KITU AMBACHO UPANDE WA PILI HAWAKIPENDI... IN SHORT ANAISHI KAMA MFALME NA NI FULL STORY NA WATU WA USALAMA MUDA WOTE
Hao tissue wana report kwa nani Hadi wampe Lissu ufalme?
 
"MWENYE NCHI HANA AJENDA YA KUMTENDEA UBAYA TUNDU LISSU JAPO VIBARAKA NDIO WANAOSHINIKIZA SANA ILA KAULI YA MWENYE NCHI NI HAPANA."

Nanukuu maneno yako mleta Mada! JPM apumzike kwa Amani, alisingizwa mengi sana!
JPM aliamrisha Tundu apigwe risasi wakati anahudhuria bunge. JPM alimuua Ben Saanane kwa bastola yake mwenyewe baada ya Ben kushikikia msimamo kuwa PhD ya Magu ni FEKI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…