John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
View attachment 3170006View attachment 3170007
Maeneo ya Tegeta kwa Ndevu jijini Dar, Watu waliojitambulisha kuwa ni maafisa wa TRA wakiwa kwenye gari aina ya Toyota Landcruizer, wameblock gari binafsi aina ya BMW X6 yenye namba za usajili T 229 DHZ na kumtaka dereva ashuke wanamhitaji.
Dereva wa BMW amegoma kushuka na kuamua kufunga vioo na milango yote. Kwa kuwa gari lililodaiwa ni la TRA lilikua limemblock ulitokea msongamano mkubwa eneo hilo. Dereva wa BMW alipiga kelele kuwa watu hao wanataka kumteka, ndipo wananchi walipoanza kuishambilia kwa mawe gari hiyo iliyodaiwa kuwa ni ya TRA.
Walipoona mawe yamezidi wakaamua kunusuru roho zao kwa kukimbia lakini inasemekana wamegonga mtoto mdogo. Hali hiyo imezidisha hasira kwa wananchi ambao wameendelea kuishambulia gari hiyo kwa mawe na kujeruhi waliomo ndani hadi Polisi walipofiia kuwanusuru.
Inadaiwa kumetoka vifo katika tukio hilo, japo bado haijathibitishwa.!
Land Cruiser Mkonga ilienda kublock BMW X6 ,inasemekana jamaa alikuwa na "MPUNGA" ndani ya X6 ,ila aligoma kushuka akapiga YOWE kwamba wanataka kumteka ,raia wakaanza kujaa...Kulikuwa na watu watano waliojifanya ni TRA ,walivyoona raia wanazidi kujaa watatu wakakimbia wakabakia wawili dereva wa STL na mwenzake.
Nao waliobakia walivyoona shazi la watu wamepanda mori wakaondoa gari kwa kasi kwa nyuma wakawagonga boda boda na bajaji kisha akaenda mbele akaenda kugonga mawe yale yaliyoweka kuonyesha ujenzi wa mwendokasi unaendelea ,Land cruiser ikagoma kwenda baada ya kugonga jiwe hapo raia wakaanza kuwashambulia wale so called TRA officers na kuvunja vioo vya gari.
Polisi wamefika baada kama ya saa hivi na kukuta so called officer wa TRA wamechapika kisawasawa ,ila kabla ya kufika polisi alikuja jamaa inaonekana ni "Mtoto wa mama kizimkazi na hapa ipo" ndiyo akafanya michakato ya kuwakimbiza TRA officers hospital ila kwa hali waliokuwa nayo ni 50 /50 kupona.
Ili liwe funzo kwa polisi wanaokuja kukamata raia kiholela holela bila kufuata taratibu ,msitegemee sana "MIKWAJU" aka "MAGITAA" yenu kutishia raia ,raia akichafuka wanakunyang'anya huo mkwaju na kulala nanyi kiulalo ulalo.

Je, Ni Maafisa wa Forodha wa TRA au Undercovers wa Abduction Squad ambao wamekuwa infiltrated ndani ya TRA ili to conceal their real identities in their illicit activities??? Siyo kwamba hivyo vyeo vya huko TRA vinatumika tu kama 'Cover' ya hizo kazi zao za Siri?
Siyo kwamba hilo lilikuwa jaribio la utekaji lililofeli? Not a failed attempt of abduction