Tegeta, Dar: Maafisa wa TRA washambuliwa na wananchi kwa mawe


Je, Ni Maafisa wa Forodha wa TRA au Undercovers wa Abduction Squad ambao wamekuwa infiltrated ndani ya TRA ili to conceal their real identities in their illicit activities??? Siyo kwamba hivyo vyeo vya huko TRA vinatumika tu kama 'Cover' ya hizo kazi zao za Siri?
Siyo kwamba hilo lilikuwa jaribio la utekaji lililofeli? Not a failed attempt of abduction
 
Hio ni Camouflage mzee
 
Hivi kwa gari lolote la serikali tena la mamlaka nyeti kama TRA kwa nini cover la tairi lake la spea lililowekwa liwe la kampuni ya watu binafsi badala y kuwekewa cover yenye nembo na ujumbe unaohusu TRA yenyewe?
That was a well and planned organized crime. Huyo mtu wanamjua na walimlia timming ili wamtemeshe bunda na kumteka.
 
Da!!!!........raia wamechoka sana aisee!!!,,,,,,msumbiji walianza mdogomdogo kama ivi!!!
 
Namba DHZ iwe haikulipiwa ushuru mbaka leo?? Au nimeleewa tofauti hapa?
 
Hahahaaa!!

Yule kinyota ni muoga balaa, akikukama we mkazie anaogopa, yaani nilikuaga namshangaa sana, akikukamata na gari anadaka hata buku, sasa kinyota unadakaje buku, askari wa kawaida adake ngapi?

Kuna siku nimepakia magendo natokea Africana ile nakunja tu mataa ya mbuyuni kuelekea mtongani akanipiga mkono, akili ikawaza fasta nikasema hapa sisimami, mie huyoooo, akakodi bodaboda kunifukuzia, aliponifikia akaniangalia(hapo chuma inatembea) nikamwabia narudi akageuza akaniacha niende.

Ile nimerudi nikamkunjia buku mbili akacheka tu akaniruhusu. Ila siku hizi simuoni sijui amestaafu, ila mzee pisi sana yule.
 
Hapo sheria gani haijafuatwa boss wangu?
Unakujaje ofisini kwangu saa 2 usiku nafunga, siwezi kukuruhusu mkuu hata kama ni mtumishi wa umma. Njoo mda wa kazi. Hufuati utaratibu, unakuja tu kama mhalifu kisa tu upo na gari ya serikali, kwa nini usionyeshe uhusika wako na kazi yako?
 
DHZ imeingia 2016 huko, kuna kiswaswadu cha 2016 namba zake zinaendana na hiyo. Najiuliza tu toka 2016 jamaa kaingiza gari hadi leo 2024 bado walikuwa wakiifuatilia? Iliingia kimagendo and for all those yrs walikuwa wanaifatilia?
 
DHZ imeingia 2016 huko, kuna kiswaswadu cha 2016 namba zake zinaendana na hiyo. Najiuliza tu toka 2016 jamaa kaingiza gari hadi leo 2024 bado walikuwa wakiifuatilia? Iliingia kimagendo and for all those yrs walikuwa wanaifatilia?
Sijui kwa nini hii issue ya plate number inawasumbua. Kwani hujafikiria kuwa plate namba inaweza kuwa fake ndio maana waliishitukia? Kwani hujafikiria kuwa plate number inaweza kuwa imechomolewa kwenye gari jingine na kubandikwa hapo? Kwa nini watanzania tunakuwa wavivu wa kufikiria?
 
Unakujaje ofisini kwangu saa 2 usiku nafunga, siwezi kukuruhusu mkuu hata kama ni mtumishi wa umma. Njoo mda wa kazi. Hufuati utaratibu, unakuja tu kama mhalifu kisa tu upo na gari ya serikali, kwa nini usionyeshe uhusika wako na kazi yako?
Hujafikiria kuwa labda huo muda waliokuja ndio muda muafaka kwao kukipata wanachokitafuta, hujafikiria kuwa wakikubali kuja kesho unaweza kukihamisha au kupoteza ushahidi wa kile wanachokitafuta?
 
Kwasasa WATEKAJI wawe makini jamaa wamevurugwa akil kwa mkichwa ,,, et wat wasiojulikana ,,,
 
Kuna sehemu nimesoma ushahidi wa hiyo gari same plate number kuwa imelipia hadi bima. Kwa nini wewe ukiwaza positively ukosoe wanaowaza negatively.? Haya mambo ya kutekana yameota mizizi, ndio maana hata raia wakaona wasaidie, unadhani nao wajinga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…