Tegeta, Dar: Maafisa wa TRA washambuliwa na wananchi kwa mawe

Kuna sehemu nimesoma ushahidi wa hiyo gari same plate number kuwa imelipia hadi bima. Kwa nini wewe ukiwaza positively ukosoe wanaowaza negatively.? Haya mambo ya kutekana yameota mizizi, ndio maana hata raia wakaona wasaidie, unadhani nao wajinga?
Kumbe haupo makini japo umesoma. Hebu rudi tena usome vizuri hiyo bima. Hiyo bima ni ya sijui nisani patrol sijui daladala. Means hiyo BMW ilikuwa inatumia namba za gari nyingine. Kumbuka hao ni maafisa wa Customs, wao ndio wenye mifumo ya kuangalia usajili wa gari, kutambua imeingiaje nchini.
 
🤣🤣! Kule Kunduchi Beach ndo chimbo kuu la magendo!
 
Possible maana jamaa wana mbinu nyingi.
 
Safi sana, hawa WAPUUZI wamevuna walichokipanda. WASIOJULIKANA wataendelea kujulikana sasa kama serikali yaa CCM haitacha haya mambo ya utekaji.
 
Hujafikiria kuwa labda huo muda waliokuja ndio muda muafaka kwao kukipata wanachokitafuta, hujafikiria kuwa wakikubali kuja kesho unaweza kukihamisha au kupoteza ushahidi wa kile wanachokitafuta?
Achana na mambo ya utekaji wewe, ukiendelea kushupaza shingo kuna siku wananchi WATAKUCHOMA MOTO MZIMA MZIMA..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…