konda msafi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 1,696
- 8,763
Kumbe haupo makini japo umesoma. Hebu rudi tena usome vizuri hiyo bima. Hiyo bima ni ya sijui nisani patrol sijui daladala. Means hiyo BMW ilikuwa inatumia namba za gari nyingine. Kumbuka hao ni maafisa wa Customs, wao ndio wenye mifumo ya kuangalia usajili wa gari, kutambua imeingiaje nchini.Kuna sehemu nimesoma ushahidi wa hiyo gari same plate number kuwa imelipia hadi bima. Kwa nini wewe ukiwaza positively ukosoe wanaowaza negatively.? Haya mambo ya kutekana yameota mizizi, ndio maana hata raia wakaona wasaidie, unadhani nao wajinga?