Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #61
[emoji15] [emoji3] [emoji276] [emoji144] [emoji115]Kaka wewe utakuwa umeachiwa utaalam huo
bw
Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15] [emoji3] [emoji276] [emoji144] [emoji115]Kaka wewe utakuwa umeachiwa utaalam huo
bw
Sasa unatengenezajw sumu bila dawa yake banaa hata siku ikikufyatukia mwenyewe inakuajeHakuna [emoji23]
Hili ngoja nilifanyie kaziSasa unatengenezajw sumu bila dawa yake banaa hata siku ikikufyatukia mwenyewe inakuaje
Udanganyifu katika mahusiano ni kitu kikongwe na kinachopigwa vita duniani kote watu kwa maelfu wamepoteza maisha kutokana na ishu za Udanganyifu wivu na kufumaniwa au kufumaniana
Kwa wasambaa kulikuwa na tego moja maarufu sana TEGO LA USINGA tego hili ni baya na lenye nguvu sana ambalo lilitegwa kwenye mapaja ya mwanamke kwa kujulishwa au kwa kutojulishwa
Test yake kama tego linafanya kazi mwanamke angewekewa kipande cha chuma au kisu au panga na kuambiwa akiruke, ambapo kitu hicho kingekatika vipande viwili , kwahiyo hapa mwanamke hana ujanja na anajua fika kinachoendelea
Kwa wale wanawake ambao hawajulishwi ila wana mashaka basi huchukua panga au kitu chochote cha chuma na kukiruka!kikikatika tu anajua hali halisi anatulia. Bahati mbaya sana kuna baadhi ya wanaume huwa hawawaambii wake zao kile walichokifanya na wanawake nao wengine huwa hawana machale na hivyo kusababisha maafa.
Mwanamke mwenye tego la usinga akiingiliwa na mwanaume mwingine yule mwanaume hupigwa na kitu kama shoti na baada ya hapo huanza kuumwa tumbo ambapo hawezi kumaliza masaa sita hufariki huku uume ukiwa umesimama ndii
Usinga si kitu chema kwakuwa hauna dawa na mwanamke hatakiwi kuwa na mtoto mdogo wa kiume ambaye atambeba mara kwa mara
Huu ndio usinga tego baya kabisa enzi hizo usambaani...!
Bahati mbaya wataalam wake wamekufa na ujuzi huo bila kuurithisha kwa yeyote

[emoji80] [emoji80] [emoji87] [emoji87] [emoji15] [emoji779] [emoji781] Mmh...chunga sana kama una mtoto wa kiumeHuu uchawi/kinga bado ipo.....kuna mze mmoja kule Tanga maeneo ya Kisimatui bado anafanya haya, na mimi nimeshamshughulikia mke wangu kitambo na yeye hajijuwi.
[emoji80] [emoji80] [emoji87] [emoji87] [emoji15] [emoji779] [emoji781] Mmh...chunga sana kama una mtoto wa kiume
Wanadai show ukapigie chumbani kwake yaani kwa mumeweNa dawa ambayo inapiga counter inaitwaje incase usinase na wala usipigwe shoti hata kama mtu ametega
Wanaume bana, we unagonga wanawake kama kumi huko nje, we kuonjewa tu na mtu mmoja unaua...... Nanyie tutaanza kuwaua hata kwa sumu ya panya!!!
Tena ingekuwa tamu vibayaKwa iyo unataka dunia ibaki in wanawake tuuu