Tego la usinga; uchawi uliotoweka

Tego la usinga; uchawi uliotoweka

Na dawa ambayo inapiga counter inaitwaje incase usinase na wala usipigwe shoti hata kama mtu ametega
 
Udanganyifu katika mahusiano ni kitu kikongwe na kinachopigwa vita duniani kote watu kwa maelfu wamepoteza maisha kutokana na ishu za Udanganyifu wivu na kufumaniwa au kufumaniana

Kwa wasambaa kulikuwa na tego moja maarufu sana TEGO LA USINGA tego hili ni baya na lenye nguvu sana ambalo lilitegwa kwenye mapaja ya mwanamke kwa kujulishwa au kwa kutojulishwa

Test yake kama tego linafanya kazi mwanamke angewekewa kipande cha chuma au kisu au panga na kuambiwa akiruke, ambapo kitu hicho kingekatika vipande viwili , kwahiyo hapa mwanamke hana ujanja na anajua fika kinachoendelea

Kwa wale wanawake ambao hawajulishwi ila wana mashaka basi huchukua panga au kitu chochote cha chuma na kukiruka!kikikatika tu anajua hali halisi anatulia. Bahati mbaya sana kuna baadhi ya wanaume huwa hawawaambii wake zao kile walichokifanya na wanawake nao wengine huwa hawana machale na hivyo kusababisha maafa.

Mwanamke mwenye tego la usinga akiingiliwa na mwanaume mwingine yule mwanaume hupigwa na kitu kama shoti na baada ya hapo huanza kuumwa tumbo ambapo hawezi kumaliza masaa sita hufariki huku uume ukiwa umesimama ndii

Usinga si kitu chema kwakuwa hauna dawa na mwanamke hatakiwi kuwa na mtoto mdogo wa kiume ambaye atambeba mara kwa mara
Huu ndio usinga tego baya kabisa enzi hizo usambaani...!

Bahati mbaya wataalam wake wamekufa na ujuzi huo bila kuurithisha kwa yeyote

Wanaume tuko waoga sana kugededewa sijui wanawake wao hawana hofu ya watu wao kugegeda kwingine,je wanawake walikuwa hawawategi watu wao
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji80] [emoji80] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Udanganyifu katika mahusiano ni kitu kikongwe na kinachopigwa vita duniani kote watu kwa maelfu wamepoteza maisha kutokana na ishu za Udanganyifu wivu na kufumaniwa au kufumaniana

Kwa wasambaa kulikuwa na tego moja maarufu sana TEGO LA USINGA tego hili ni baya na lenye nguvu sana ambalo lilitegwa kwenye mapaja ya mwanamke kwa kujulishwa au kwa kutojulishwa

Test yake kama tego linafanya kazi mwanamke angewekewa kipande cha chuma au kisu au panga na kuambiwa akiruke, ambapo kitu hicho kingekatika vipande viwili , kwahiyo hapa mwanamke hana ujanja na anajua fika kinachoendelea

Kwa wale wanawake ambao hawajulishwi ila wana mashaka basi huchukua panga au kitu chochote cha chuma na kukiruka!kikikatika tu anajua hali halisi anatulia. Bahati mbaya sana kuna baadhi ya wanaume huwa hawawaambii wake zao kile walichokifanya na wanawake nao wengine huwa hawana machale na hivyo kusababisha maafa.

Mwanamke mwenye tego la usinga akiingiliwa na mwanaume mwingine yule mwanaume hupigwa na kitu kama shoti na baada ya hapo huanza kuumwa tumbo ambapo hawezi kumaliza masaa sita hufariki huku uume ukiwa umesimama ndii

Usinga si kitu chema kwakuwa hauna dawa na mwanamke hatakiwi kuwa na mtoto mdogo wa kiume ambaye atambeba mara kwa mara
Huu ndio usinga tego baya kabisa enzi hizo usambaani...!

Bahati mbaya wataalam wake wamekufa na ujuzi huo bila kuurithisha kwa yeyote

Huu uchawi/kinga bado ipo.....kuna mze mmoja kule Tanga maeneo ya Kisimatui bado anafanya haya, na mimi nimeshamshughulikia mke wangu kitambo na yeye hajijuwi.
 
[emoji80] [emoji80] [emoji87] [emoji87] [emoji15] [emoji779] [emoji781] Mmh...chunga sana kama una mtoto wa kiume
 
Mkuu umenikumbusha 2010 kuna binti wa kimakonde ameolewa Na msambaa nikataka kuingia bahati nzuri nilimshirikisha rafiki yangu wa kisambaa ndio akanipa hiyo stori sikutaka tena hata mazoea nae! Wanadai kuna hadi kukojoa dagaa kama ukinaswa ila ukimlia chumbani kwake haina shida
 
Back
Top Bottom