Tehran, Iran kutiwa kiberiti kama wakiendelea kushambulia maeneo ya raia wa Israel

Tehran, Iran kutiwa kiberiti kama wakiendelea kushambulia maeneo ya raia wa Israel

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,575
Reaction score
53,613
Iran wanalenga maeneo ya raia maana makambi ya kijeshi yameshindikana, mpaka sasa hivi wamefaulu kuua raia wanne wa Israel.
Israel imetoa tahadhari wakiendelea hivi basi na yenyewe itaamua kutia kiberiti mji wote, ifahamike Israel wana uwezo wa ile bomu ya MoB yaani mother of all bombs, na ukizingatia anga ya Iran ni peupe wanashindwa kuzuia chochote.
Jameni nilisubiri sana hivi vita, makobaz yanatukana hadi napata raha, hata huku mtaani nayaona yanakusanyika makundi makundi yana hasira sana.
------++++++++

Defense Minister Israel Katz warns Iran’s leader, Ali Khamenei, that if missiles continue to be fired at Israel, “Tehran will burn.”

“The Iranian dictator is turning the citizens of Iran into hostages and creating a reality in which they, especially the residents of Tehran, will pay a heavy price for the criminal attack on Israeli civilians,” Katz says during an assessment with IDF Chief of Staff Lt. Gen. Eyal Zamir, Mossad director David Barnea, and other top military officials.

“If Khamenei continues to fire missiles at the Israeli home front, Tehran will burn,” Katz warns.

Hivi nyie mnashabikia Vita uwa ni wajinga au wapumbavu?

Vita duniani ndio inafanya maisha ya watu kuwa magumu ziadi

Mnashabikia wenzenu kutajirika kupitia mauzo ya siraha kweli miafrika hamna akili kabisa!!
 
Unataka tufanyaje GENIUS!?
Tulie!?
Tunune!?
Tufunge na kusari!?
Tubebe silaha tukasuruhishe!?
 
Unampiga kofi mwanaume mwenzako halafu unamwambia ole wako ujaribu kunirudishia!

Mazayuni majinga sana!!!
Safari hii kitawalamba.
 
Mchana uwanja ni wake Israel, akigusa kitu chochote ndani ya Iran, usiku wanaume watampa majibu.
 
Unampiga kofi mwanaume mwenzako halafu unamwambia ole wako ujaribu kunirudishia!

Mazayuni majinga sana!!!
Safari hii kitawalamba.
Irani anatakiwa aendelee alipoanzia.ili iwe fundisho kwamba Iran sio Gaza.
 
Hivi nyie mnashabikia Vita uwa ni wajinga au wapumbavu?

Vita duniani ndio inafanya maisha ya watu kuwa magumu ziadi

Mnashabikia wenzenu kutajirika kupitia mauzo ya siraha kweli miafrika hamna akili kabisa!!
Kwani huku bongo tuna vita na nani?

Mbona maisha ni magumu kushinda hata nchi hizo zinazopigana?
 
Yaani Israel ishambulie civilian nuclear facilities, iue wanasayansi na wananchi 78 halafu ilie faulo raia wake wanne kufa?
 
Irani anatakiwa aendelee alipoanzia.ili iwe fundisho kwamba Iran sio Gaza.
Mpaka saa hii wameshajua kuwa Iran sio Gaza. Hivi umeona Wayahudi wanavyolia lia huko mitandaoni!?
Ni Wayahudi pori tu wa huku bara giza ndio wanashupaza shingo!
 
Hivi nyie mnashabikia Vita uwa ni wajinga au wapumbavu?

Vita duniani ndio inafanya maisha ya watu kuwa magumu ziadi

Mnashabikia wenzenu kutajirika kupitia mauzo ya siraha kweli miafrika hamna akili kabisa!!
Nasemaga kila siku miafrika ni mburasi kabisa
 
1749896034146.png
 
Mpaka saa hii wameshajua kuwa Iran sio Gaza. Hivi umeona Wayahudi wanavyolia lia huko mitandaoni!?
Ni Wayahudi pori tu wa huku bara giza ndio wanashupaza shingo!
Hui ni kweli kabisa

Hata hivyo ngoja tuone mwisho wake

Walianzwa kupigwa wafadhiliwa na sasa mfadhili mkuu zamu yake imefika

Ngoja tuwaone hawa miamba ya middle
 
Hamna kutupa taulo waendelee kuzichapa
 
Unampiga kofi mwanaume mwenzako halafu unamwambia ole wako ujaribu kunirudishia!

Mazayuni majinga sana!!!
Safari hii kitawalamba.

Hapa kosa kubwa Iran inafanya ni kushambulia makazi ya raia. Kwa kufanya hivyo inahalalisha adui yake naye kushambulia maeneoya kiraia, jambo ambalo litaleta maafa makubwa.

Kwa sheria za kimataifa, Israel kushambulia vituo vya nuklia vya Iran, siyo kosa kwa sababu Iran imekiuka azimio la umoja wa mataifa kuhusiana na mradi wake wa nuklia. Hapo Israel ni kama inalazimisha Iran kuheshimu utekelezaji wa agizo la umoja wa mataifa.
 
Back
Top Bottom