Tehran, Iran kutiwa kiberiti kama wakiendelea kushambulia maeneo ya raia wa Israel

Tehran, Iran kutiwa kiberiti kama wakiendelea kushambulia maeneo ya raia wa Israel

Irani anatakiwa aendelee alipoanzia.ili iwe fundisho kwamba Iran sio Gaza.
Kwamba Iran aendelee kushambulia na kuua raia sio? Wakianza kufanya hivyo upande wa pili mtaanza muda si mrefu kujiliza tena na ###free Iran😁😁😄😄
 
Hapa kosa kubwa Iran inafanya ni kushambulia makazi ya raia. Kwa kufanya hivyo inahalalisha adui yake naye kushambulia maeneoya kiraia, jambo ambalo litaleta maafa makubwa.

Kwa sheria za kimataifa, Israel kushambulia vituo vya nuklia vya Iran, siyo kosa kwa sababu Iran imekiuka azimio la umoja wa mataifa kuhusiana na mradi wake wa nuklia. Hapo Israel ni kama inalazimisha Iran kuheshimu utekelezaji wa agizo la umoja wa mataifa.
Wakianza upande wa pili na wao kushambulia hovyo hovyo wataanza kukaa miongoni mwa wanawake na watoto na kuanza kujiliza #Free Iran
 
Kwa sheria za kimataifa, Israel kushambulia vituo vya nuklia vya Iran, siyo kosa kwa sababu Iran imekiuka azimio la umoja wa mataifa
Ebu ficha mahaba na ujinga wako aisee!
Israel yeye ni nani mpaka achukue hatua ya kushambulia vituo vya nyuklia vya Iran?
Israel ameshakiuka maazimio mangapi ya umoja wa mataifa na yupo anadunda tu?
 
Mzayuni pori kutoka Mufindi anakuambia mabomu ya Iran yamepiga porini, hakuna madhara!
Weeeh na akili zako timamu kabisa uangalie hiyo picha halafu useme hakuna madhara?
Madhara kwa nani ndugu yangu? Wameua Askari yoyote wa Israel? Wameharibu miundombinu na mifumo ya kijeshi au wameua raia wasio na hatia?

Inasikitisha mtaanza kujiliza na kuomba msaada muda si mrefu upande wa pili wakianza kushambulia watu na makazi yao.
 
Hivi nyie mnashabikia Vita uwa ni wajinga au wapumbavu?

Vita duniani ndio inafanya maisha ya watu kuwa magumu ziadi

Mnashabikia wenzenu kutajirika kupitia mauzo ya siraha kweli miafrika hamna akili kabisa!!

Mkijifanya mibabe wa dunia lazima mtulizwe, miaka mingi sasa mumekua mkiangaliwa tu na kuchekewa...
 
Unampiga kofi mwanaume mwenzako halafu unamwambia ole wako ujaribu kunirudishia!

Mazayuni majinga sana!!!
Safari hii kitawalamba.

Umepigwa wewe, acha kujibu kwa kufuata watoto, tupigane kiume ngumi kwa ngumi, ukitaka tufuatane kwa watoto msianze kulia lia genocide...
 
Yaani Israel ishambulie civilian nuclear facilities, iue wanasayansi na wananchi 78 halafu ilie faulo raia wake wanne kufa?

Tukianza kutia kiberiti kote msilie lie mara genocide mara waislamu wanamalizwa, endeleeni kulenga maeneo ya raia, mumeonywa.
 
Madhara kwa nani ndugu yangu? Wameua Askari yoyote wa Israel? Wameharibu miundombinu na mifumo ya kijeshi au wameua raia wasio na hatia?

Inasikitisha mtaanza kujiliza na kuomba msaada muda si mrefu upande wa pili wakianza kushambulia watu na makazi yao.
Weeeeh CHIZI kweli, eti mtaanza kujiliza!
Na umeshupaza shingo kabisa unatype ushubwada wako.
Eti hakuna madhara, hivi unajitambua kweli weeeh lofa!?


View: https://x.com/BRICSinfo/status/1933660745071313036


View: https://x.com/BRICSinfo/status/1933651538767163768


View: https://x.com/BRICSinfo/status/1933616699020095645

Yaani unaamini hapa hakuna madhara kabisa!?
 

Attachments

  • Screenshot_2025-06-14-13-02-54-073.jpg
    Screenshot_2025-06-14-13-02-54-073.jpg
    339.1 KB · Views: 19
Back
Top Bottom