Tekashi 6ix9ine ameachiwa huru kutokana na hofu ya Corona Virus

huku nje pia ni hatari kwa maisha yake maana alivujisha siri za makundi makubwa ya uhalifu kama makubaliano na waendesha mashataka ili apunguziwe adhabu.
 
Kuna huyu wanamuita young lunya, yani mpaka wimbo unaisha ye anapayuka tu lakini bado kuna watu wanamfagilia
[/QUOTE
Mi mwenyewe huwa nawashangaa wanaomkubali lunya kila ngoma flow ile ile
 
Mi nimemjua kwenye yes bana challenge,,,yaani kaimba hovyo kinoma anaunga unga vina tu
 
69 alitisha kwenye party yake..nimefurahi alivyo achiwa huru
Ni bora tufurahi,,,usikute tuna muda mchache wa kumuona akiwa hai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…