Tekashi 6ix9ine ameachiwa huru kutokana na hofu ya Corona Virus

Mumble rappers everywhere![emoji107]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hopefully R Kelly naye watamuachia kabla ya corona haijamshambulia.

Hahahaha had Post Malone!!Aya bhana nimekuelewa Mumble rapper Scars
Mumble rappers ni wasanii ambao nyimbo zao hazihitaji critical thinking kwamba ukisikiliza kuna la kujifunza. J cole ndo maana aliwachana yaani wao wanaongelea vitu vinne pesa, malaya, madawa na ukabaji (robbers). Flow zao ni dabbs na vimbwengele mbwengele vingine kama "skrrt" ili kuongeza urefu wa nyimbo

Lil baby pure cocaine, humu hakuna kilichoimbwa wanajizungusha tu kupoteza muda ili mradi tu

Lil pump kaimba gucci gang lakini hakuna lryrical mle huwezi kumfananisha na dax kwenye book of revelations

Future ndo kabisa hata ukisikiliza ile nyimbo yake na drake "life is good" utagundua nyimbo ilianza kupoteza ladha alipoanza kuimba "future"

21savage huyu sio wa kumtetea labda kama hujaiskia ngoma yake ya "bank account" anarudia rudia tu maneno na kuhesabu namba yani kiufupi alichokiimba ni meaningless na ndio maana tunawaita mumble rappers na kuna cypher moja wako mumble rappers karibia wote na aliyeharibu kwenye hiyo cypher kushinda wenzake ni Uzi na kodak

Ni wengi mzee hao wote ni talentless na ndio maana Quavo walikua wanamdiss sana kua ana sauti nzuri ila anaimba trash, ndo maana kwenye Narcos akajitetea kua "this is real rap no mumble" lakini bado ni trash
 
Hopefully R Kelly naye watamuachia kabla ya corona haijamshambulia.
Kwani ana matatizo ya kiafya?

Tekashi alikua ana pumu ndo maana kaachiwa ila hata hivyo walichukua mda sana kumruhusu atoke baada ya ombi lake la mwanzo kukataliwa japo kua wakili wake alilalamika kua jamaa ni mgonjwa
 
Unataka source ya kuhusu mumble rappers uitoe billboard au BBC?
 
This real rap no mumble yeyeyeyeh,,straight out the jungle,,,Future kweli kazingua kwenye life iz good..Ebu nambie ngoma ipi Post Malone kaimba vitu havieleweki?check Better now,Go flex,Rock star,Good bye, Psycho, zote zina mantiki hajaimba kuhusu madawa,Malaya wala magari.
 
Halafu huyu malone yuko kwenye genre ya pop na R&B wala sio rapper ye ni singer. Ukiangalia hata hizi latest songs alizofanya kama "thousands hundred" times na "circle" hizi nyimbo zote hakuna alipo rap zote kaimba
 
White Iverson ipo kwenye category ya Hip-hop.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu huyu malone yuko kwenye genre ya pop na R&B wala sio rapper ye ni singer. Ukiangalia hata hizi latest songs alizofanya kama "thousands hundred" times na "circle" hizi nyimbo zote hakuna alipo rap zote kaimba
Sasa mbona kwenye list yako ya Wikipedia yupo?,,I told U men Wikipedia mhhhhh
 
pia Mumble ni vile wanaimba vitu kama hawatamki maneno sawa sawa, unakuta mtu anaimba Pruuuuurakatatatattatatpupu paah yani hamna cha kueleweka [emoji28][emoji28] mziki unaniudhi mimi huo..
Migos /Young Thug /Future hata wakiimba hujui who is who vitu ni meaning less kama unavyosema mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…