Mkuu sio kwamba umezidisha matumizi ya umeme?
Mkuu sio kwamba umezidisha matumizi ya umeme?
Ni kwamba hukusoma alichoandika au?Mfano mimi natumia umeme wa 50000/ mwezi mzima na unit zinabaki kidogo. Lakini kwa sasa kwenye hizi mita mpya umeme huo wa 50000 haufiki mwezi ni kama siku 23 au 24 na matumizi ni yale yale ya kila siku.
Ni kweli kipindi hichi cha joto Kali matumizi ya umeme yanaongeza , feni ,ac hata fridge kipindi hiki cha joto ukiijaza full , utaisoma number.Ujue kipindi hiki sehem nyingi joto kali, feni zinawashwa 24/7 ..umeme lazima uende
Tajiri mwenye pesa na wewe unallalamika na kulia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mbogamboga wapo bize kujaza matumbo yao, hawana shida na kilio cha watz kabisa, mbwaa wale aiseeee.
Sililii nafsi yangu, nalilia haki na ustawi wa Watanzania wenzangu.Tajiri mwenye pesa na wewe unallalamika na kulia
Unasema serikali iangalie hilo jambo? Labda kama ingekua serikali iliyowekwa madarakani kwa kura za wananchi.Kwa wale ambao mmefungiwa hizi mita mpya za digital ambazo wanazibadilisha kipindi mtakua mnajua kuhusu suala la UNIT kwenda speed kuliko zile mita za awali.
Mfano mimi natumia umeme wa 50000/ mwezi mzima na unit zinabaki kidogo. Lakini kwa sasa kwenye hizi mita mpya umeme huo wa 50000 haufiki mwezi ni kama siku 23 au 24 na matumizi ni yale yale ya kila siku.
Kuna kijana jirani yangu ana fanya welding kwa siku walikua wakitumia umeme wa 8000 na wanapata umeme wa kuanzia kesho, ila tokea wafunge mita mpya wanatumia umeme wa 13000 kwa siku.
Serikali kupitia Tanesco waangalie jambo hili, wanaumiza watanzania.