Duble Chris
JF-Expert Member
- May 28, 2011
- 3,481
- 564
hizi chanel zipo free hewani haziuzwi ila startimes ndiyo mafisadi maana walipaswa hizi chanel za free waziingize ufisadi hautafasiliwi kwa namna hiiUfisadi sio lazima uibe mabilioni...hata kutaka kuchakachua startimes ili upate ITV,EATV n.k ni mojawapo ya ufisadi!
sasa na wale wa mbeya mtatusaidiaje.99
tumia freq 461, upate new chanels
Inawezejana hawajakubaliana. hata hivyo huitaji kurudisha king'amuzi ili waongeze channel nyingine wanaziongeza kwenye mitambo yao.Ninaiomba kampuni ya star-times irejeshe ving'amuzi vyote vilivyo mikononi mwa watu ili wavirekebishe kwa kuweka chaneli za ITV na Star TV. Kwa nini hamkuziweka?
Ni choice ya mtu jamani kwani kabla ya kununua unapaswa kufahamu unachonunua. Kama unapenda ITV na Star TV kanunue EASY TV au TING
Kwa hiyo kama nimekosa mkate nile keki siyo?