Televisheni ya Sh400,000 yawapeleka miaka 30 jela

Televisheni ya Sh400,000 yawapeleka miaka 30 jela

Wezi siyo watu wazuri hiyo 30 haiwatoshi,wanaume wanapambana kwa jasho alafu wao wanakuja kubeba kirahisi tu na mapanga wamemcharanga mwenye mali hiyo miaka ni michache,
Kwa waliowahi kuibiwa wanaelewa..
 
Na huko jela watafutiwe waume wa kuwaoa tunataka kuona wakitoka jela wanatoka na watoto waliomaliza chuo kikuu.
 
Badala ya kuiba serikalini wao wanaiba kwa mvuja jasho mwenzao na zaidi ya yote wanamkata na mapanga,ujinga hautasha afrika
Watu wanaiba mabillion ya pesa za umma wanachekewa tu,igeni mfano huo
 
Back
Top Bottom