Wezi siyo watu wazuri hiyo 30 haiwatoshi,wanaume wanapambana kwa jasho alafu wao wanakuja kubeba kirahisi tu na mapanga wamemcharanga mwenye mali hiyo miaka ni michache,
Kwa waliowahi kuibiwa wanaelewa..
Badala ya kuiba serikalini wao wanaiba kwa mvuja jasho mwenzao na zaidi ya yote wanamkata na mapanga,ujinga hautasha afrika
Watu wanaiba mabillion ya pesa za umma wanachekewa tu,igeni mfano huo