Television ya Taifa,TBC, Imetisha!. Yarusha Live Mbili Kwa Wakati Mmoja! Live ya Dodoma on TBC1 At the Same Time Live ya Arusha TBC2- Safari Channel

Kuna wakati Pasco alikuwa akitaka hii nafas ya Ryoba. Naona kila ukijaribu kila mahali teuzi zinabuma. Umeanza kumsifia sasa. If you can't defeat them join them!
 
Mama mama!
Mama
Mama huyooo!
Mama!Mama mama huyooo mama mama huyooo mama.
Hamna hata aibu, hizo chuki zenu zitawamaliza, ndege nazo mnasema mama wakati zimeandikwa Hapa kazi tu, hizi mitambo na uboreshwaji wa TBC alifanya JPM lakini leo watu wanasema tofauti...hehe
 
Kuna wakati Pasco alikuwa akitaka hii nafas ya Ryoba. Naona kila ukijaribu kila mahali teuzi zinabuma. Umeanza kumsifia sasa. If you can't defeat them join them!
Mimi Paskali Mayalla ni mtangazaji wa kujitegemea kwa kujitolea, sijawahi kutaka nafasi yoyote, wala sijawahi kutafuta uteuzi wowote.

Tafuta Ikama ya TBC, uangalie mshahara wa DG wa TBC, halafu Kama una mtu unamjua TRA, mwambie akuangalizie Tin Number ya mtu aitwae Pascal Andrew Mayalla, analipa kodi kiasi gani, kisha linganisha na ule mshahara!. Ukipata majibu, naomba yafanye ni siri yako!.
P
 
Nilikuwa sifahamu, kumbe ni TBC2 ni maarufu kama Safari Channel!

Siku nilikuwa najua hizi ni channels mbili tofauti

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Paschal mambo yameanza kukaa sawa baada ya biashara ya habari kufa miaka mitano iliyopita sio?
 
Ila Mami unapenda sifa wewe! Haki ya nani siyo kwa sifa hizo!!
 
Huo muda wa kuangalia tbccm wakati kila kisimbusi kina zaidi ya chanl mia mnaupata wapi?
 
Sioni kama TBC ina maajabu sana maana hata huo uwekezaji inategemea zaidi luzuku kuliko mapato yake ya ndani.
Habari zake nyingi ni propaganda zaidi kuliko kuhabarisha kwa uwiano kutoka nyanja zote za kijamii, kiuchumi, etc
Kwa watazamaji na dili wako nyuma Sana ukilinganisha na mashirika mengine vya habari
 

Mkuu Pascal Mayalla

Kasi ya SASHA ni 🔥🔥🔥
 
Hakuna Cha ajabu hapo hasa kwa wakati huu wa sasa technology. Inadevelop kila Leo hiyo live hata milladi ayo anaweza fanya hivyo..
Ili kituo chochote kiweze kurusha live mbili simultaneously, lazima kituo hicho kiwe na Channel zaidi ya moja. Kwa Tanzania, Kituo cha TV, cha FTA, chenye Channel zaidi ya moja ni TBC pekee. Azam TV ni cable kama ilivyo DSTV. ITV pia wanazo Channel 3, yaani ITV, EATV na Capital TV, lakini ITV haijawahigi kumiliki OB Van hata moja.
Kutangaza live mbili sio jambo dogo.
P
 
Hongera kwa TBC ila wajitahidi kwenye camera wasitumie simu
 
Ikusanye na Familia yako muangalie vizuri hiyo TBC.
Mkuu mdudu, umejaaje?!. Uko right, TBC ndio TV familia yangu tunaangalia, vipindi vya Akili na Ubongo Kids ndio vipindi bora kabisa vya watoto.
P
 
Je azam anae rusha live 3 kwa wakati mmoja? Sport1HD mpira kutoka mbeya sport2HD mpira kutoka Tanga na UTv live kutoka chamwino
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…