Television ya Taifa,TBC, Imetisha!. Yarusha Live Mbili Kwa Wakati Mmoja! Live ya Dodoma on TBC1 At the Same Time Live ya Arusha TBC2- Safari Channel

kwasisi tunaoona live 8 za azam tv kwenye mpira tunaruhusiwa kucoment??
 
Tatizo lako siyo mshahara. Tatizo lako ni teuzi katika nafasi za juu.
 
Tatizo lako siyo mshahara. Tatizo lako ni teuzi katika nafasi za juu.
Teuzi katika nafasi za juu ili nikafanye nini?!. Tuendeleeni tuu kufahamiana hivi hivi ki jf, if, lakini watu wote wanaonifahamu the real me, wanajua Pasco Mayalla hatafuti uteuzi wowote.
P
 
Ili kituo chochote kiweze kurusha live mbili simultaneously, lazima kituo hicho kiwe na Channel zaidi ya moja. Kwa Tanzania, Kituo cha TV, cha FTA, chenye Channel zaidi ya moja ni TBC pekee.
Okay...... (TBC Pekee)
Azam TV ni cable kama ilivyo DSTV.
Sawa....
ITV pia wanazo Channel 3, yaani ITV, EATV na Capital TV, lakini ITV haijawahigi kumiliki OB Van hata moja.
Kutangaza live mbili sio jambo dogo.
P
Duh mkuu sasa ITV ni Cable !!??? Mbona logically argument yako kama inaukakasi !!???
 
Japo sijasoma ulichoandika mzee wangu ...niwe mkweli tu Nina miaka sita au Saba sijafungulia tbc ...
Na nikiwakuta wanangu wanaangalia tibithii lazima niwagomee...
Uzalendo una mipaka ....
Mkuu Nyambi Sr , pole sana, kwasababu kwa kutoangalia TBC, unakosa mengi!.
P
 
Sasa kama television ya Taifa, inayoendeshwa kwa kodi za watu milioni 60 itashindwa jambo dogo kama hilo si bora ifutwe tuu mkuu?
 
Thread Imekosa Neno Moja Tu Ambalo Ni Hili
Haijawahi Kutokea Hii Isipokuwa Awamu Ya 6
Haa Haa, Mambo Mengine Ni Kinyaa Sana

Pongezi Ziende Awamu Hi Tuliyonayo
Asante kunisemea hili.
P
 
Yaani uko mulemule mkuu
 
Out of topic : kombe la dunia mwakani nani wamepewa leseni ya kurusha matangazo kwa hapa TZ. Msaada wakuu maana nipo dilemma niwe na kisimbuzi gani nipate uhondo huo.
 
ila nawashauri TBC waongeze ubunifu idara zote.
ubora wa picha za matukio, vipindi vya mazungumzo/mahojiano ya asubuhi, n.k
 
Mbona si ajabu, hivyo ni vituo viwili tofauti, labda ingekuwa kituo kimoja ingeeleweka kweli tbc wametisha, hata kama mmiliki wa vituo ni mmoja
 
Azam alirusha mechi zote za ligi kuu at once.

Azam ana pesa kuliko serikali??

Hapana.

TBC wanatakiwa matangazo Yao yote yake ya HD

Pesa IPo.

Wa ache upigaji
 
Hujasoma unachangia nini sasa ?

Sent from my HUAWEI MLA-L11 using JamiiForums mobile app
Mkuu Kwani wewe mgeni mkuu paschal au ?..? Najua tu alichoandika na anachomaanisha Ni vitu viwili tofauti hivyo huwezi kumuelewa ukiwa na akili nyepesi ...zamani nilikuwa nikimaliza kusoma mabandiko yake ...nilivyomuelewa baada ya kukua ubongo wangu nikaacha ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…