Ume report? Embu report that kwa viongozi wao. Hiyo tabia haivumiliki kwakweliNimekuwa nikiambiwa na jamaa zangu kuwa nikienda benki sasa hivi niwe na tabia ya kuhesabu pesa zangu kabla ya kuondoka pale dirishani kwani wale 'Tellers' wamekuwa na mtindo wa kuchomoa pesa hususan kwenye bundle za 1m.Nilikuwa siamini lakini leo yamenikuta Equity Bank,pale Golden Jubelee branch. Yule Dada alikuwa anahesabu pesa kwa ile mashine ambayo anayo ndani na wakati anahesabu kwa machine wala sikutia mashaka kwa hiyo sikuona hata namba za kwenye mashine inavyohesabu na akimaliza anazifunga kwa 'rubber band'. Alinipa pesa zangu na akaniaga vizuri tu.Nimefika nyumbani nimehesabu Bundle moja limefungwa kama milioni moja lina Tsh 930,000 tu na lingine kama hilo lina Tsh. 800,000 tu. Nimesikitika kwa kweli kwani sikutegemea ushenzi kama huu kufanywa waziwazi na mfanyakazi aliyeaminiwa na Benki.
Sasa mimi najiuliza kama ingetokea nimehesabu palepale nikagundua upungufu huo yule Dada angekuwa na hatma gani kwani nisingekubali yaishie hqpo.Ni Mungu tu ameamua kumuhifadhi. Lakini pamoja na Mungu kumuhifadhi inabidi uongozi wa Benki ulitizane jambo hili la aibu.Vilevile hata kwa Mabenki mengine kama kuna mambo kama haya yamulikwe na yasipate nafasi kwani yanaharibu sifa za Kibenki ,nkiamini kuwa wizi huu ni wa mfanyakazi mmoja mmoja na sio wa mtandao ndani ya Benki.
Nduguzanguni tuwe makini zaidi pale tunapokwenda benki kuchukua pesa.Hali ya sasa siyo.
Hapo sasa, ππππkwani hamjui kama Pasaka imekaribia?
Pole sana. Uko Tanzania na wizi ni sifa. Umefanya vizuri kuandika na kutaja mambo kwa uwazi kwa sababu umetoa tahadhari kwa watu wengine. Pia ingekuwa vizuri uandike email kwa meneja/uongozi wa benki uelezee muda na details zote. Sidhani kama watakurudishia sana sana watakuambia zimeibiwa sehemu nyingine lakini hii itawafanya waogope.Nimekuwa nikiambiwa na jamaa zangu kuwa nikienda benki sasa hivi niwe na tabia ya kuhesabu pesa zangu kabla ya kuondoka pale dirishani kwani wale 'Tellers' wamekuwa na mtindo wa kuchomoa pesa hususan kwenye bundle za 1m.Nilikuwa siamini lakini leo yamenikuta Equity Bank,pale Golden Jubelee branch. Yule Dada alikuwa anahesabu pesa kwa ile mashine ambayo anayo ndani na wakati anahesabu kwa machine wala sikutia mashaka kwa hiyo sikuona hata namba za kwenye mashine inavyohesabu na akimaliza anazifunga kwa 'rubber band'. Alinipa pesa zangu na akaniaga vizuri tu.Nimefika nyumbani nimehesabu Bundle moja limefungwa kama milioni moja lina Tsh 930,000 tu na lingine kama hilo lina Tsh. 800,000 tu. Nimesikitika kwa kweli kwani sikutegemea ushenzi kama huu kufanywa waziwazi na mfanyakazi aliyeaminiwa na Benki.
Sasa mimi najiuliza kama ingetokea nimehesabu palepale nikagundua upungufu huo yule Dada angekuwa na hatma gani kwani nisingekubali yaishie hqpo.Ni Mungu tu ameamua kumuhifadhi. Lakini pamoja na Mungu kumuhifadhi inabidi uongozi wa Benki ulitizane jambo hili la aibu.Vilevile hata kwa Mabenki mengine kama kuna mambo kama haya yamulikwe na yasipate nafasi kwani yanaharibu sifa za Kibenki ,nkiamini kuwa wizi huu ni wa mfanyakazi mmoja mmoja na sio wa mtandao ndani ya Benki.
Nduguzanguni tuwe makini zaidi pale tunapokwenda benki kuchukua pesa.Hali ya sasa siyo.
ATM maximum ni 400k for Once, ukitaka kutoa 2M inabidi utoe mara nyinginyingi, ndo maana watu wana opt kwenda kwa tellerNaomba kuuliza mwisho wa kutoa ATM ni shi ngp ? Na ukitoa Teller mean ukikuta zipo pungufu inakuaje?
Uaminifu umekuwa ni tatizo nchi hii, hili ni tatizo linalokua kwa kasi sanaPole sana. Uko Tanzania na wizi ni sifa. Umefanya vizuri kuandika na kutaja mambo kwa uwazi kwa sababu umetoa tahadhari kwa watu wengine. Pia ingekuwa vizuri uandike email kwa meneja/uongozi wa benki uelezee muda na details zote. Sidhani kama watakurudishia sana sana watakuambia zimeibiwa sehemu nyingine lakini hii itawafanya waogope.
Na mimi nimemshauri hivi hivi. Kama hawezi kwenda basi aandike hata email aelezee. Japo hawatakubali kuwa zilikuwa pungufu lakini zitawaogopesha wasirudie tena. Huwa wanamsoma mteja na wakiona hana mwelekeo wa kuhakiki wanampiga.Ume report? Embu report that kwa viongozi wao. Hiyo tabia haivumiliki kwakweli
Aseeh sasa Tellers wanakuwa sio waaminifu duuh, Ila Bora siku hz ishu za electronic money ni kuhamisha tuu, naona ni rahisi kuliko kutembea na cash nyingi na kukutana na wizi kama huoATM maximum ni 400k for Once, ukitaka kutoa 2M inabidi utoe mara nyinginyingi, ndo maana watu wana opt kwenda kwa teller
Mkuu lilishakua na kuzaa watoto. Vijukuu ndiyo vinatamba sasa. Kla sehemu ni upigaji. Tena benki ndiyo kabisaa. Unakumbuka kipindi cha nyuma walikuwa wanakula na majambazi, ukichukuwa fedha nyingi unasetiwa.Uaminifu umekuwa ni tatizo nchi hii, hili ni tatizo linalokua kwa kasi sana
Daah kipindi nikiwa siijui sim banking bas kila nikitoa pesa ATM nahesabu πHesabu hela hapo hapo hata kama unatoa kwenye ATM ππ
ATM zilivyoanza Dar zilikuwa zinakosea sana kutoa hela, mara nyingine zinakuongezea ππDaah kipindi nikiwa siijui sim banking bas kila nikitoa pesa ATM nahesabu π
Count your money before leaving the counter sasa hivi ukiwa na milioni 40 una count vipi pale.Ume report? Embu report that kwa viongozi wao. Hiyo tabia haivumiliki kwakweli