Tellers' kwenye benki zetu wanatuibia pesa zetu bila aibu

Kifupi tu sisi watanzania wengi wetu ni wezi, ndio maana tukaamua kuchomana moto tukikamatana.
 
Unejitakia unaenda benki kutoa pesa ya dagaa 2M ukome umepigwa 270 ya nina
 
Nimetoa muongozo hapo juu. Huyu hata aende mbiguni hatasikilizwa keshavunja sheria ya "count your money before leaving". Sasa mtu keshaenda nyumbani na magengeni halafu arudi Bank kufanya nini.
Mkuu kumbukumbu zipo hazifutiki wewe unsongea lugha za kitapeli, ki Customer care atasikilizwa na Kama Manager ata kataa kumpa ushirikuano ataenda polisi na polisi watamwambia Manager awaonyeshe CCTV camera waangalie, kama alizidondosha pale pale au Cashier aliiba, kila kitu kinachoendelea ndani ya Banki na kwenye ATM Camera zina record masaa 24hrs, Watanzania tusiwe waoga kudai haki zetu.
 
Nimekuwa nikiambiwa na jamaa zangu kuwa nikienda benki sasa hivi niwe na tabia ya kuhesabu pesa zangu kabla ya kuondoka pale dirishani kwani wale 'Tellers' wamekuwa na mtindo wa kuchomoa pesa hususan kwenye bundle za 1m.

Nilikuwa siamini lakini leo yamenikuta Equity Bank,pale Golden Jubelee branch. Yule Dada alikuwa anahesabu pesa kwa ile mashine ambayo anayo ndani na wakati anahesabu kwa machine wala sikutia mashaka kwa hiyo sikuona hata namba za kwenye mashine inavyohesabu na akimaliza anazifunga kwa 'rubber band'.

Alinipa pesa zangu na akaniaga vizuri tu.Nimefika nyumbani nimehesabu Bundle moja limefungwa kama milioni moja lina Tsh 930,000 tu na lingine kama hilo lina Tsh. 800,000 tu. Nimesikitika kwa kweli kwani sikutegemea ushenzi kama huu kufanywa waziwazi na mfanyakazi aliyeaminiwa na Benki.

Sasa mimi najiuliza kama ingetokea nimehesabu palepale nikagundua upungufu huo yule Dada angekuwa na hatma gani kwani nisingekubali yaishie hqpo.Ni Mungu tu ameamua kumuhifadhi. Lakini pamoja na Mungu kumuhifadhi inabidi uongozi wa Benki ulitizane jambo hili la aibu.

Vilevile hata kwa Mabenki mengine kama kuna mambo kama haya yamulikwe na yasipate nafasi kwani yanaharibu sifa za Kibenki ,nkiamini kuwa wizi huu ni wa mfanyakazi mmoja mmoja na sio wa mtandao ndani ya Benki.

Nduguzanguni tuwe makini zaidi pale tunapokwenda benki kuchukua pesa.Hali ya sasa siyo.
Anaenda kula K-VANT
 
Yule Dada alikuwa anahesabu pesa kwa ile mashine ambayo anayo ndani na wakati anahesabu kwa machine wala sikutia mashaka kwa hiyo sikuona hata namba za kwenye mashine inavyohesabu na akimaliza anazifunga kwa 'rubber band'.
Nilijua tu itakuwa "yule dada" kwa sababu mnataka kuonesha kwa akina "yule dada" wanaohesabu hesabu pesa ni vile vimaskini kutoka Vingunguti kwahiyo si ajabu yule dada alishajua hizo ndo pigo zako, pigo za tajiri uchwara! Mimi kama anatumia zile mashine lazima nikodolee macho macho, na hii lafudhi yangu ya Kisukuma ingawaje sio Mkusuma wanajua kabisa huyu baba asipokuelewa ataanza kuhesabu noti moja moja mwenyewe hapa hapa dirishani, na kweli nitahesabu kwa sababu si wameandika kabisa usiondoke kabla hujahesabu pesa yako?! Endeleeni tu kupigwa ili na wao vikojoleo vyao vipumzike kidogo.
 
Maripoti
Nimekuwa nikiambiwa na jamaa zangu kuwa nikienda benki sasa hivi niwe na tabia ya kuhesabu pesa zangu kabla ya kuondoka pale dirishani kwani wale 'Tellers' wamekuwa na mtindo wa kuchomoa pesa hususan kwenye bundle za 1m.

Nilikuwa siamini lakini leo yamenikuta Equity Bank,pale Golden Jubelee branch. Yule Dada alikuwa anahesabu pesa kwa ile mashine ambayo anayo ndani na wakati anahesabu kwa machine wala sikutia mashaka kwa hiyo sikuona hata namba za kwenye mashine inavyohesabu na akimaliza anazifunga kwa 'rubber band'.

Alinipa pesa zangu na akaniaga vizuri tu.Nimefika nyumbani nimehesabu Bundle moja limefungwa kama milioni moja lina Tsh 930,000 tu na lingine kama hilo lina Tsh. 800,000 tu. Nimesikitika kwa kweli kwani sikutegemea ushenzi kama huu kufanywa waziwazi na mfanyakazi aliyeaminiwa na Benki.

Sasa mimi najiuliza kama ingetokea nimehesabu palepale nikagundua upungufu huo yule Dada angekuwa na hatma gani kwani nisingekubali yaishie hqpo.Ni Mungu tu ameamua kumuhifadhi. Lakini pamoja na Mungu kumuhifadhi inabidi uongozi wa Benki ulitizane jambo hili la aibu.

Vilevile hata kwa Mabenki mengine kama kuna mambo kama haya yamulikwe na yasipate nafasi kwani yanaharibu sifa za Kibenki ,nkiamini kuwa wizi huu ni wa mfanyakazi mmoja mmoja na sio wa mtandao ndani ya Benki.

Nduguzanguni tuwe makini zaidi pale tunapokwenda benki kuchukua pesa.Hali ya sasa siyo.
Mripoti wamtie adabu inawezekana ameshawaibia wengi na asipoadhibiwa ataendelea
 
Mkuu kumbukumbu zipo hazifutiki wewe unsongea lugha za kitapeli, ki Customer care atasikilizwa na Kama Manager ata kataa kumpa ushirikuano ataenda polisi na polisi watamwambia Manager awaonyeshe CCTV camera waangalie, kama alizidondosha pale pale au Cashier aliiba, kila kitu kinachoendelea ndani ya Banki na kwenye ATM Camera zina record masaa 24hrs, Watanzania tusiwe waoga kudai haki zetu.
Nadhani unatakiwa upate elimu kidogo juu ya camera review Bank. Kuangalia camera haina shida, ila nimefafanua sn hapo juu. Huwezi kutoka ndani ya Bank halafu urudi udai pesa hazitoshi, waangalie kwenye camera. Hiyo sheria ya wapi. Kwani wakati unahesabu camera nazo zilikuwa zinahesabu.
 
Cctv can tell everything, unless waamuue kushinda hiyo kesi
The logic is here: When you were counting your money, were the cameras doing the same? Hivi kazi ya CCTV ni nini. Pesa inavyohesabiwa ni tofauti na kuhesabu matofali.

CCTV zinaweza kuonesha pesa net iliyosoma kwenye machine ya kuhesabia pesa. Lakini wewe unapohesabu zitaonesha vitendo vyako, hazitaweza kubaini kiasi ulichohesabu. Labda uhesabu note moja na kuiweka pembeni hadi ziishe zote otherwise hautaona kiasi ulichohesabu kwenye CCT.

Kila mahali kuna taratibu, kanuni na sheria. Jana nimefafanua sn. Huwezi kuchukua pesa ukatoka mlango wa bank ukaenda zako nyumbani na magengeni halafu eti urudi bank wa review camera. Uliwahi kuona au kuskia wapi hicho kituko.

Kwa hili nimefunga mjadala wake.
 
😅😅😅Kazi kipimo cha utu
Well said. Kuna watu humu hata uelimishe vipi hawataki kuelimika. Eti mtu kachukua pesa kaenda hadi nyumbani halafu wanamshauri arudi eti wakaangalie camera. Aise ndo maana nawashangaa vyama vya upinzani kuwaelimisha watu umuhimu wa free and fair election. Km watu wenyewe ndo hawa waliomo humu na hawataki kuelewa, hawaoni km wanapoteza muda wao bure.
 
Nimekuwa nikiambiwa na jamaa zangu kuwa nikienda benki sasa hivi niwe na tabia ya kuhesabu pesa zangu kabla ya kuondoka pale dirishani kwani wale 'Tellers' wamekuwa na mtindo wa kuchomoa pesa hususan kwenye bundle za 1m.

Nilikuwa siamini lakini leo yamenikuta Equity Bank,pale Golden Jubelee branch. Yule Dada alikuwa anahesabu pesa kwa ile mashine ambayo anayo ndani na wakati anahesabu kwa machine wala sikutia mashaka kwa hiyo sikuona hata namba za kwenye mashine inavyohesabu na akimaliza anazifunga kwa 'rubber band'.

Alinipa pesa zangu na akaniaga vizuri tu.Nimefika nyumbani nimehesabu Bundle moja limefungwa kama milioni moja lina Tsh 930,000 tu na lingine kama hilo lina Tsh. 800,000 tu. Nimesikitika kwa kweli kwani sikutegemea ushenzi kama huu kufanywa waziwazi na mfanyakazi aliyeaminiwa na Benki.

Sasa mimi najiuliza kama ingetokea nimehesabu palepale nikagundua upungufu huo yule Dada angekuwa na hatma gani kwani nisingekubali yaishie hqpo.Ni Mungu tu ameamua kumuhifadhi. Lakini pamoja na Mungu kumuhifadhi inabidi uongozi wa Benki ulitizane jambo hili la aibu.

Vilevile hata kwa Mabenki mengine kama kuna mambo kama haya yamulikwe na yasipate nafasi kwani yanaharibu sifa za Kibenki ,nkiamini kuwa wizi huu ni wa mfanyakazi mmoja mmoja na sio wa mtandao ndani ya Benki.

Nduguzanguni tuwe makini zaidi pale tunapokwenda benki kuchukua pesa.Hali ya sasa siyo.
Tatizo watu wengi hatujui sheria Wala haki zetu, bank zote zinafanya kazi chini ya regulation za B.O.T, Moja ya sheria ya B.O.T ni kua teller haruhusiwi kufanya kazi ikiwa camera ndani ya chumba chake haifanyi kazi, camera zote zikiharibika ni Bora bank ifungwe hio siku, it's strictly prohibited kufanya kazi camera ikiwa off, unachotakiwa ni kwenda bank unalipia nadhani 40k kama sikosei wakuonyeshe footage nzima wakati unatoa hizo pesa zako, kama ameiba camera zitaonyesha, kama wakisema camera hazifanyi kazi wao wanapaswa kukulipa madai Yako la sivo unawashtaki B.O.T na wao hawawezi kuruhusu lifike huku, at the end of the day kama madai Yako Yako sawa wanaku refund na hiyo 40k Yako, it's that simple!!! Fatilia bank huwezi kupoteza pesa kizembe!!!
 
Well said. Kuna watu humu hata uelimishe vipi hawataki kuelimika. Eti mtu kachukua pesa kaenda hadi nyumbani halafu wanamshauri arudi eti wakaangalie camera. Aise ndo maana nawashangaa vyama vya upinzani kuwaelimisha watu umuhimu wa free and fair election. Km watu wenyewe ndo hawa waliomo humu na hawataki kuelewa, hawaoni km wanapoteza muda wao bure.
Tatizo watu wengi hatujui sheria Wala haki zetu, bank zote zinafanya kazi chini ya regulation za B.O.T, Moja ya sheria ya B.O.T ni kua teller haruhusiwi kufanya kazi ikiwa camera ndani ya chumba chake haifanyi kazi, camera zote zikiharibika ni Bora bank ifungwe hio siku, it's strictly prohibited kufanya kazi camera ikiwa off, unachotakiwa ni kwenda bank unalipia nadhani 40k kama sikosei wakuonyeshe footage nzima wakati unatoa hizo pesa zako, kama ameiba camera zitaonyesha, kama wakisema camera hazifanyi kazi wao wanapaswa kukulipa madai Yako la sivo unawashtaki B.O.T na wao hawawezi kuruhusu lifike huku, at the end of the day kama madai Yako Yako sawa wanaku refund na hiyo 40k Yako, it's that simple!!! Fatilia bank huwezi kupoteza pesa kizembe!!!

Sawa wanasema hesabu pesa zako kabla hujaondoka, watu wengi tunajua mazingira ya bank zetu zilivo na foleni, let's say umetoa 30M, upewe ukae tena counter uanze kuzihakiki watu wakisubiri, unaona kama it's applicable kweli??? Teller anahesabu pesa unahakiki kwenye machine yake, akiwa anafunga Kuna namna hua wanazitupa chini
 
Back
Top Bottom