Tellers' kwenye benki zetu wanatuibia pesa zetu bila aibu

Hasahasa wanawake Ukiyaona kwenye teller utafikiri Watu wa maana kumbe majizi yaliyowekewa kiyoyozi
 
Issue ni kwamba unatoa mil 7 kwa mfano, hapo wamekuchanganyia na elfu tano tano, pa kuhesabia ni palepale counter na pembeni anahudumiwa mtu mwingine na wateja wengine wanakukodolea macho. Mimi nilipigwa benki moja kijitonyama sayansi. Yaani anakugeuzia kabisa mashine uone lakini kumbe wakati wa kuzifunga rubber band anasukuma noti nyingine pembeni.
 
Unaishi nchi gani wewe maana sio kwa shombo hili.
 
Ni hivi mjifunze kutoa tip...teller nao wananjaa,wanamajukumu...mnawaona wanashinda na mihela ila nao hawanakitu.mjaribu kujenga ukaribu nao.then count your money before living the cauntaa.
 
Utahesabu Milion 100 wewe? Au unazungumzia hizo pesa zenu Milion 2 mpaka 5?
 
Kwanini,hukuhesabu? Hela hata akupe nani utatakiwa kuhakiki, vinginevyo Kila sehemu inayohisu pesa utawalaumu.
 
Mara nyingi wanazipiga wakati wanafanya bundling, na mara nyingi huwa wanakuongleshea kwa ukarimu sana huku wanakuangalia machoni kwa umakini mkubwa. one mistake one goal, wako faster kama black mamba
 
sikutia mashaka kwa hiyo sikuona hata namba za kwenye mashine
apo ndo uliponyooshewa kiongozi...pole sana. mweusi haaminiki kiivyo siku ingine uwe unaangalia zile namba pale kwenye kimashine usione soo itakula kwako.
 
Utahesabu Milion 100 wewe? Au unazungumzia hizo pesa zenu Milion 2 mpaka 5?
nyinyi wa 100 mill ndo ndo mnapendwa. sio lazma huesabu mwenyewe. mwambie aweke kwenye kile kimashine ahesabu uku unaona. biashara yake inaishia apo.
 
Ni hivi mjifunze kutoa tip...teller nao wananjaa,wanamajukumu...mnawaona wanashinda na mihela ila nao hawanakitu.mjaribu kujenga ukaribu nao.then count your money before living the cauntaa.
Au uwabebee msosi. Wanapenda sana
 
Siku hizi hayo mabango hayapo,
 
Siku hizi hayo mabango hayapo,
Hiyo Bank iliyofuta hayo maneno leta hapa jina lake. Hayo maneno ni lazima yawepo tena kwa lugha mbili Kiswahili na Kiingereza (siyo hiari ni lazima). Hata maneno " Huruhusiwi kuvuta sigara" ni lazima kwa Bank zote. Warnings km hizo huwa siyo akipenda roho chao bali ni lazima.
 
Mkuu usi laumu hapa, rudi pale pale uke report hili tukio na uwombe picha za cctv kwa hiyo siku wakati anahesabu hapo ndio utapata ukweli. Nenda pale omba kuonana na meneja direct....
 
Mkuu usi laumu hapa, rudi pale pale uke report hili tukio na uwombe picha za cctv kwa hiyo siku wakati anahesabu hapo ndio utapata ukweli. Nenda pale omba kuonana na meneja direct....
Nimetoa muongozo hapo juu. Huyu hata aende mbiguni hatasikilizwa keshavunja sheria ya "count your money before leaving". Sasa mtu keshaenda nyumbani na magengeni halafu arudi Bank kufanya nini.
 
Ni hivi mjifunze kutoa tip...teller nao wananjaa,wanamajukumu...mnawaona wanashinda na mihela ila nao hawanakitu.mjaribu kujenga ukaribu nao.then count your money before living the cauntaa.
Posho kwao hazipo?
 
Watu wamesoma Ili waibie wenzao kama hujui, inamuibia mzazi wa mwenzako unampelekea mzazi wako, ndo Benji wanasema Hesabu pesa zako kabla hujaondoka kaunta, kosa ni lako, na hata ungehesabu pale pale hakuna jipya ungefanya zaid ya kuniambia haijalamilika au yeye akikuona unahesabu anakuongezea na onakua imeisha hiyo, huo mtindo upo mwendokasi unampa 5000 anarudisha chenji mafungu mafungu na tiketi ukichukua bila kuhesabu utakuta buku hakuna, japo si wote
 
Nimetoa muongozo hapo juu. Huyu hata aende mbiguni hatasikilizwa keshavunja sheria ya "count your money before leaving". Sasa mtu keshaenda nyumbani na magengeni halafu arudi Bank kufanya nini.
Cctv can tell everything, unless waamuue kushinda hiyo kesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…