Temeke, Dar: Ili upige muziki kwenye sherehe/shughuli utapaswa kulipia elfu 50 ya kibali

Watoto watakaolipishwa bethidei zao wakikua na kuwa marais watakuwa balaa kwa kodi, moja ya kodi kali itakuwa ya tozo ya kupiga mswaki tukiacha ya leseni ya kuvaa viatu.
 
Kwa mantiki hiyo wenyeviti wa Serikali za Mitaa kwa kutumia askari wa akiba al-maarufu Migambo watapita mitaani kuangalia kama kuna "mnuso" nyumba fulani ili wahusika walipe kodi
😱😱😡😡πŸ₯΅πŸ₯΅
 
Hii tozo CCM haiwahusu,inawahusu Chadema na Lissu wake. Mitano Tena!
 
mataga ile mitano tena imeanza kuwatokea puani.
 
Wakati mwingine inakuwa ni njia ya kutuokoa na matumizi yasiyo ya lazima hasa kwa watu wa kipato cha chini.

Tufanye mambo kwa kadri ya uwezo wetu!!
 

Roho mbaya itakuuwa,sujui wewe ni jinsia gani.Umeambiwa hao wanaofanya sherehe hawana hela ya matibabu au shobo tu
 
😳Lakini pia haijalishi umefanya ukumbini au nyumbani. Kwa mantiki hiyo wenyeviti wa Serikali za Mitaa kwa kutumia askari wa akiba al-maarufu Migambo watapita mitaani kuangalia kama kuna "mnuso" nyumba fulani ili wahusika walipe kodi.
Kwa hiyo nikiwa na sabuhufa yangu nikawa napiga nyimbo za taaratibu huku nikifurahi na familia yangu na ndugu walionitembelea kunipongeza kwa kufanikisha jambo muhimu wakati huo huo tunakamatia ubwechwe, na mnuso wa nguvu! Kuna uwezekano Askari wa akiba wakatushika 'tanganyika jeki'😳😳😳😳
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…