Temeke, Dar: Ili upige muziki kwenye sherehe/shughuli utapaswa kulipia elfu 50 ya kibali

Tunakoelekea ka nchi ni kuanza kutozwa kodi Hadi za vikojoleo vyetu sasa, then matit tax, au kichwa tax.naona kodi za kikoloni zikirudi tena nchini
Hahahah mtapigwa left & right hadi mtie akili au nasema uongo ndugu zangu 😂
 
Ajira hakuna, wafanyakazi hawajapandishwa mishahara, wengine wamegomea madaraja yale yale miaka mitano then leo anatokea mtu anasema birthday ya mtoto nilipie kodi, huu kama sio uchawi ni nini?
Utakuwa ulozi 😂
 
Sherehe unakula kuku😂 huo mchango wa elimu unafaidika nao nini zaidi ya kejeli na dharau za watu ambao wakishika madaraka wanasahau walipotoka? Tutachangia maakuli tu.
 
Hahahah mtapigwa left & right hadi mtie akili au nasema uongo ndugu zangu [emoji23]
Hii nchi Hali ngumu, hamna ajira biashara zimefungwa nyingi then mlevi aliyevimbiwa gongo anakuja na matamko ya hovyo
 
Hahahah mubasharaaa😂
 
Kibaya zaid hakuna wa kukemea haya hata Bungeni .uwiii[emoji29]
 
Nchi hii hawataki watu wawe na furaha, duuuu
Wangeita tozo ya furaha tu.

Nyumba yako, mshahara wako, gharama zote zako, furaha yako; ukiamua kufanya sherehe kwako elfu 50.

Na mgambo juu unaambiwa utaletewa usipotoa taarifa; kasheshe.
 
Daa hizi kodi , tunakoelekea na kodi ya kichwa inarudi jamani, wale wahenga wakukimbizana na migambo unakuja
 
Kama hatutasikia Askari sugu kutobolewa matumbo na watu wajiandaye tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…