Shimbayaane
Member
- Dec 18, 2020
- 45
- 40
Krismasi, pasaka, maulidi, idd el fitri mwaka mpaya hizi tena tutaingiza pesa nyingi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah mtapigwa left & right hadi mtie akili au nasema uongo ndugu zangu 😂Tunakoelekea ka nchi ni kuanza kutozwa kodi Hadi za vikojoleo vyetu sasa, then matit tax, au kichwa tax.naona kodi za kikoloni zikirudi tena nchini
Utakuwa ulozi 😂Ajira hakuna, wafanyakazi hawajapandishwa mishahara, wengine wamegomea madaraja yale yale miaka mitano then leo anatokea mtu anasema birthday ya mtoto nilipie kodi, huu kama sio uchawi ni nini?
kodi, hata venue ikiwa juu ya muembe mzee 😂😂😂 lipa kodi kwa maendeleo ya taifaKwa hiyo venue ya nyumbani nailipia kodi?
Sherehe unakula kuku😂 huo mchango wa elimu unafaidika nao nini zaidi ya kejeli na dharau za watu ambao wakishika madaraka wanasahau walipotoka? Tutachangia maakuli tu.Safi sana but mbona viwango vipo chini hivyo?
Hivi hapa ndivyo vyenyewe sasa...
Ukumbi malaki 5
Chakula malaki 4
MC malaki 3
DJ malaki 2
Badala ya kuchangianaga kwenye mambo muhimu kama elimu, tiba, nk watu wanashobokeaga masherehe. Hiiiiiiiiiii!
Wacha wakomage kabisa kabisa wakufwage huko!
Hii nchi Hali ngumu, hamna ajira biashara zimefungwa nyingi then mlevi aliyevimbiwa gongo anakuja na matamko ya hovyoHahahah mtapigwa left & right hadi mtie akili au nasema uongo ndugu zangu [emoji23]
Pwahaahaha[emoji28][emoji28]Wasi sahau Kodi ya kitanda kwa wana ndoa
Muziki vipi? Mnaingia kama wezi. Nimecheka sana.
Kushobokea masherehe ni ushamba na ulimbukeni wa kupindukia!
Hahahah mubasharaaa😂Kwa hiyo nikiwa na sabuhufa yangu nikawa napiga nyimbo za taaratibu huku nikifurahi na familia yangu na ndugu walionitembelea kunipongeza kwa kufanikisha jambo muhimu wakati huo huo tunakamatia ubwechwe, na mnuso wa nguvu! Kuna uwezekano Askari wa akiba wakatushika 'tanganyika jeki'😳😳😳😳
Tena kugongwa na spana namba nanewataznania wengi ni makondoo.
bila kugongwa hivyo vichwa huwa niwazito sana kufikiri sawa-sawa.
Wangeita tozo ya furaha tu.Nchi hii hawataki watu wawe na furaha, duuuu
Halafu saa6 kamili usiku mwishohadi kigodoro kinalipiwa kodi
Hili binafsi sina tatizo nalo.Halafu saa6 kamili usiku mwisho
Watu washapiga vyombo then uje uwaletee mapichapicha,kitawaka tuu.Kama hatutasikia Askari sugu kutobolewa matumbo na watu wajiandaye tu