Shing Yui
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 15,168
- 38,049
Bwashee kwema?😄😄Ni jambo jema!
Huyo Meya ni wa Chadema.
Itakuwaje sherehe nifanye nyumbani kwangu wewe uje unitoze kodi, haya ndio mambo ya akina Mamwindi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwashee kwema?😄😄Ni jambo jema!
Huyo Meya ni wa Chadema.
Itakuwaje sherehe nifanye nyumbani kwangu wewe uje unitoze kodi, haya ndio mambo ya akina Mamwindi!
Usisahau ile mbinu ya awamu hii 'Tengeneza tatizo,kisha litatue".Usishangae Mkulu akatengua siku mbili na kama mazuzu tukashangilia tena kwa nguvu!You knew Sengerema was going to set the precedent.
Sometimes wacha yawakute tu aiwezekani watu wajiamulie mambo na sheria ipo; halafu wahusika kwao iwe hewala tu.
Kesho watasema mechi za ndondo cup kuchezwa lazima walipie tozo ya laki moja ili kuwe na kiingilio.
Kikubwa kwao chochote kinachompa mtanzania starehe nchi ambayo wananchi wake wanatakiwa wawe na manung’uniko according global happiness index lazima kiangaliwe upya na kuitoa hiyo furaha maana ilo jambo ni anasa.
Haya ndio madhara ya kuwa na waziri wa fedha asie mwanasiasa na kura za ushindi aziitaji ushawishi; vinginevyo waziri mwingine yeyote asingekubali huu upuuzi.
Mwisho wa siku anaelipa ni wenye sherehe sio mpishi, MC, mwenye ukumbi wala photographer; just pathetic watu wakikubali huu upuuzi.
Mtu mwanawe kafaulu shule, mzazi amefurahi anataka kumfanyia ka part inabidi aachane na hilo Waco maana kuna tozo za halmashauri zinamsubiri; aisee na wananchi wanadhani this is OK ili swala likipita bila makash kash sasa ndio ntaamini watanzania ni kama kondoo.
Na viboko kwanza wamesahau kuongeza apo kodi ya uchafuzi wa sauti kila mtu afunguwe redio sauti ambayo jirani hawezi sikia kabisa wala mtu aliyepo nje kwako liwe kosa la jinaiKwa hiyo nikiwa na sabuhufa yangu nikawa napiga nyimbo za taaratibu huku nikifurahi na familia yangu na ndugu walionitembelea kunipongeza kwa kufanikisha jambo muhimu wakati huo huo tunakamatia ubwechwe, na mnuso wa nguvu! Kuna uwezekano Askari wa akiba wakatushika 'tanganyika jeki'😳😳😳😳
Kushobokea masherehe ni ushamba na ulimbukeni wa kupindukia!Roho mbaya itakuuwa,sujui wewe ni jinsia gani.Umeambiwa hao wanaofanya sherehe hawana hela ya matibabu au shobo tu
Techinically kuna impact mbili hapo,This is hogwash to say the least......
Kwahio kama DJ/MC kapata shughuli ya kulipwa elfu 25 au 10 kwa siku, itabidi atoe kwenye mfuko wake kulipa hio difference..., Au wanataka kusema profit kwa kila kazi kwa hawa watu zinazidi hizo kodi, in short kwa shughuli yoyote mtu inabidi aweke kando 180,000/ kwa ajili ya kodi no matter kama ametumia cost ya laki mbili au bilioni mbili ?
Mimi nafurahia sana haya mambo Sababu watz wengi bado hawajajitambuaThis is hogwash to say the least......
Kwahio kama DJ/MC kapata shughuli ya kulipwa elfu 25 au 10 kwa siku, itabidi atoe kwenye mfuko wake kulipa hio difference..., Au wanataka kusema profit kwa kila kazi kwa hawa watu zinazidi hizo kodi, in short kwa shughuli yoyote mtu inabidi aweke kando 180,000/ kwa ajili ya kodi no matter kama ametumia cost ya laki mbili au bilioni mbili ?
Nchi hii haina dalili yakupungukiwa majitu majingaHuu siyo wakati wa kula raha.
Ni sawa kabisa! Unakuta sherehe kwa mfano ya harusi au sendoff watu mnachangishwa kila kichwa elfu hamsini mpaka laki moja,!
Unakuta sherehe moja tu ina gharimu mpaka milioni 10.
Unakuta kwenye bajeti ya sherehe eti
Mapambo milion 1.5
Ukumbi milion 1.2
Mc na music milioni 1.8
Picha na video milioni 1.6
Vinywaji milioni 1.7
Chakuala milion 4
Na hizi ni sherehe tu za uswahilini bado za ushuani ndio balaa
Unakuta mtu ana maisha magumu lakini akipewa kadi ya mchango anajipinda mpaka ipatikane, tena wanakuwekea masharti kabisa single 80,000 double 150,000.
Tena hili suala lilialamikiwa sana humu kwama ifike hatua hawa watu walipe kodi.
Walipe tu kodi aisee.
Lipa kodi mzeeSherehe nyumbani na jitu wapi na wapi
Wataanza hadi unyago na ngoma za mashetani
Kwa hiyo nyumbani chakula umejinunulia mwenyewe sokoni
Kuku umewatoa banda kwako la kuku ufanye kasherehe ka mtoto kutoka jando
MC mjomba wa mtoto unaenda dai kodi?
Huo ni uhuni kwa sherehe za krimasi na iddi zinszofanyika majumbani watu wanawake hadi mahema mtafuata kodi?
Watu wakiwa wana sherehe ya kupokea mahari au barua ya uchumba mtaenda? Huo ni udhañimu
Tena wangeleta kabisa kodi ya kichwamataga ile mitano tena imeanza kuwatokea puani.
Hivi we unajua kwamba kumbi za sherehe zinalipa kodi. Hao ma MC wote unaowaona wamesajiliwa na wanalipa kodi.
Basi wazilenge hizo za mamilioni.Ni sawa kabisa! Unakuta sherehe kwa mfano ya harusi au sendoff watu mnachangishwa kila kichwa elfu hamsini mpaka laki moja,!
Unakuta sherehe moja tu ina gharimu mpaka milioni 10.
Unakuta kwenye bajeti ya sherehe eti
Mapambo milion 1.5
Ukumbi milion 1.2
Mc na music milioni 1.8
Picha na video milioni 1.6
Vinywaji milioni 1.7
Chakuala milion 4
Na hizi ni sherehe tu za uswahilini bado za ushuani ndio balaa
Unakuta mtu ana maisha magumu lakini akipewa kadi ya mchango anajipinda mpaka ipatikane, tena wanakuwekea masharti kabisa single 80,000 double 150,000.
Tena hili suala lilialamikiwa sana humu kwama ifike hatua hawa watu walipe kodi.
Walipe tu kodi aisee.