Tendo la ndoa chanzo cha kuua ndoa nyingi

Ujengewe wapi mnara katika majiji yetu
 
Yaani kwamba Watu wanaoana kwa ajili ya tendo la ndoa? Labda hawa watoto wa tisini na 2000 hapo
Hajasema hivo,soma vizuri. Yeye anachojiuliza,ni vipi watu wanalala wote,kila mmoja ana haki ya dudu la mwenza wake,lakini wananyimana! Kila mmoja anakuwa na visingizio. Ini shoti,siku hizi watu huishi kwa hesabu. Kuna wakati zile hesabu zinagoma kabisa. Wewe mtu alikuja akijua amefata mkwanja. Badae mambo hayaendi sawa. Atakuona wa nini?

Mashoga wa ovyo,wamekuwa wengi. Kila mmmoja,ana ushauri wake wa kijinga. Mara,asikubabaishe. Ohh,asikutishe. Mi nimepata mchepuko.
Weeeeee.
Mtu anapanda kitanda na jinsi. Unaanzaje kuhangaika umvua mwenza wako suruali,taiti na chupi au na vitu vingi?
Enzi hizo,usiku ukifika mwanamke huvua kila kitu. Kwa wale wenye uwezo wa wafanyakazi wa ndani,akijua mwenzake anakaribia,alioga na kumvalia au kumkalia kihasara hasara. Jamaa akimuona wazimu wanashambulia wenzao. Atapata saa ngai mda wa kuchepuka??
 
Punguzeni kuwaza ngono, fanyeni mambo mengine ya msingi.
 
Hamu wanapata ila ndio akipiga kimoja hataki tena
Mtu anaiomba hadi unasema huyu leo atashinda siku nzima kifuani ila akipewa dk 5 nyingi kashatosheka
Tatizo linaweza kuwa ni kutokujua namna sahihi ya kitombanah kwa aidha wote wawili (me & ke) au mmoja baina ya wawili.

Ikiangukia kwa me kutojua namna sahihi ya kumtombah ke ni tatizo zaidi kwasababu ke wengi wenu mko na aibu sana kuliko sisi me.

Kwa ufupi, kutombanah ni sanaa (it's an art) ambayo ni muhimu kwa wapendanao kuijua vinginevyo mtaishia kutiana shombo tu, na moja ya matokeo yake ni hii ya kimoja chali ambayo kwa wanawake wengi ni kero.
 
Katika wanaume 100, ni wawili tu watakataa kuwaweka wake zao kisa uchovu au stress, yaani only 2%. Njoo upande wa pili sasa.
Na hata hiyo 2% ukiichunguza utagundua Kuna sababu aidha ugonjwa, stress au mwanaume kashajikatia tamaa kwa maana ya Kila akitaka tendo kwa mkewe ananyimwa kwahiyo inafika wakati anaamua kukaa kimya, kwa aidha kuchepuka au kunyetuka
 
Kama mke anakataa basi tatizo lipo kwako umkuni vizuri/ hasikii raha
Tokea lini mtu akakataa kusikia raha?
Hilo laweza kuwa moja.Lakini,shida mara nyingi zipo kwa wanawake. Sababu zisizo na kichwa wala miguu zitatolewa.
NB;Mwanaume,ashtuke.Siyo kila "sitaki,nimechoka,kesho,sipendi" ya mwanamke kwamba huwa anamaanisha.Kaza uzi.Mwanamke huringaringa tu hata kwenye masuala muhimu ya ujenzi wa taifa.Komaa atoe mzigo wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…