Tendo la ndoa chanzo cha kuua ndoa nyingi

Kama mke anakataa basi tatizo lipo kwako umkuni vizuri/ hasikii raha
Tokea lini mtu akakataa kusikia raha?
Ukumbuke mwanaume akiwa fiti anaweza kutombah mara tatu (bao 3) Kila siku, mwanamke akiwa fiti anakuwa na nyegge walau mara tatu katika Kila wiki. Hii ni kiuumbaji.

Ndio ile penzi likiwa bado la moto moto (mwanzoni) mwa mahusiano unakuta mkikumbatiana tu Tyr mwanamke keshaliwana na hata bila kusema chochote ni yeye mwenyewe anaukamatia ukuni anauelekezea pahala husika anaanza kutoa miguno ya hisia za mahaba.

Tatizo kubwa linaanzia kwenye kuleteana tabia za mazoea.
 
Acha utoto. Tofautisha kuchomeka na kufanya tendo. Hata huyo mwanamke,tusilalie upande mmoja. Ukimuudhi na kutaka kuweka,kisaikolojia hayuko fit,unadhani utapata ushilikiano gani? Sasa,alale kifo cha yule mdudu,chomeka,kimoyomoyo anasema: hili nalo limalize tu litoke. We mwanaume unadhani utajiina unajua kukuna? Kwa kifupi,kwanza mahusiano ya wanaokaa wawili,hata ukimuweka dakika 2 ataridhika. Ila kama hamko vizuri,hata ulete ukoo mzima mmkune,kazi bure.

Wenye ndoa ni wachache tu. Wengine ni wa kuwatesa wenzao.
Mtoto mwenyewe!
Sijui umeongelea upande gani
Panga hoja yako vizuri then uje tena
 
Huo nao ni uzuzu.Hauna tofauti na mwanaume upo nyumbani kuanzia asubuhi halafu inafika mchana mke anauliza "utakula"?Swali gani hilo sasa?
Hapa napingana na wewe kidogo. Hamasa ni nini,na ni jukumu la nani? Kwani mwanamke akiuona mtalimbo na kuudaka,yeye si jukumu lake? Hilo nalo tatizo. Kila siku ufukuzie,hatimae na wewe utajiuliza kama hulazimishi?

Japo kwa mwanaume aliekamilika,achana na kumuona alivyozaliwa,kiungo chochote kikionekana,lazima amri asalimu
 
Hamu wanapata ila ndio akipiga kimoja hataki tena
Mtu anaiomba hadi unasema huyu leo atashinda siku nzima kifuani ila akipewa dk 5 nyingi kashatosheka
We unataka uchezee UKUNI siku nzima? Kitu kinamwagwa ndani inalowekwa humohumo alafu show inaendelea, huna vuzi kipilipili lakini?
 
Hapa napingana na wewe kidogo. Hamasa ni nini,na ni jukumu la nani? Kwani mwanamke akiuona mtalimbo na kuudaka,yeye si jukumu lake? Hilo nalo tatizo. Kila siku ufukuzie,hatimae na wewe utajiuliza kama hulazimishi?

Japo kwa mwanaume aliekamilika,achana na kumuona alivyozaliwa,kiungo chochote kikionekana,lazima amri asalimu
Nafikiri awali haukunielewa.Nilipoandika "kula" nilimaanisha kula chakula kinachoenda tumboni mtu ashibe/atosheke.Umekaa nyumbani kuanzia asubuhi hadi saa nane mchana bila kula halafu unaulizwa kama utakula?Inakuja akilini?
 
Ndoa zimejaa mapepo ndugu yangu, haya mapepo mnayofukuza maka isani na misikitini unadhani yanaenda kuishi wapi??

Ni kwenye nyumba za wanandoa ndio maana watumishi wanasisitiza kuomba sana wakati wa kulala na wakati wa kuamka.
 
Kama mke anakataa basi tatizo lipo kwako umkuni vizuri/ hasikii raha
Tokea lini mtu akakataa kusikia raha?
Wanawake anaweza kukataa kufanya na wewe siku ambayo ndio ana hamu kushinda wewe lengo ni kutaka kukufanya wewe utumie jitihada kuiomba ili ajiskie kutakwa yaani ile sex ya kukikirishana kwenye meza viti, makabati, kuparanganyua vipodozi kwenye dressing table, kwenye sakafu mara ukutani hapo ni mnapeana maneno mazito ya ugwadu na makiss mazito, mixer kubebana juu juu.

Sasa anakutana na mwanaume ambaye hizi swaga haziwezi unadhani hata mwanaume atahangaika kuomba gemu zaidi, hapo atakachofanya ni kuoga na kulala kwa hasira maana hataki kukwazana zaidi.

Sasa kimsingi wanawake wanatakiwa kuelewa saikolojia ya mwanaume waliye nae badala ya kuishi nae kwa mazoea ya kuhisi ana operate kama wanaume wanaosikia kwa wanawake wenzao huko nje.
 
Asbuhi asbuhi yote hii tunawaza kudinyanya, wazee kazini tunaingia saangapi?
 
Wote mnaolalamikia kunyimwa tendo la ndoa mjitathmini wenyewe. Ninakotoka mimi ni aibu kusema eti mke wangu ananinyima tendo la ndoa. Ukiona hivyo ni wewe mwanaume hujui maana ya kuwa mume.
EITHER....
_ Hujamjali mke wako kutwa nzima. Yani umeondoka nyumbani kibabe hujamuaga kwa upendo...no kiss no kaneno kazuri...you just left. Huna ulichoacha moyoni mwake Ile asubuhi.
_ Uko kwenye shughuli za kutwa hukumbuki kama una mke kutwa nzima. Hupigi simu wala msg. Hapa tena huna ulichoweka moyoni mwake kutwa nzima.
_Umerudi nyumbani hujabeba hata karanga ya 500, saa nyingine umechelewa kweli kurudi ilihali kazini ulitoka saa nyingi na wala huoni sababu kumwambia ulipita wapi. Ni kweli Mwanamke anajua una ndugu na marafiki yawezekana umechelewa kwenye moja ya hilo. Hujali hisia zake, hujasema ulikopita na umerudi uko kimya na kasimu kako unaperuzi mitandaoni. Jinga kabisa wewe!
_Uliondoka bila upendo, umeshinda bila upendo, umerudi umetuna tu na simu yako au uko bize na TV, hata mkikutana na mke koridoni hata kumtekenya kidogo hakuna, mmekaa sebuleni hata kumkonyeza kiwizi hakuna. Anakupikia unakula mnaingia kulala.
....Huko chumbani unaomba mchezo unapewa unapiga kizembe. Wengine humu huwa mnasema eti ukiridhika wewe imetosha huna muda wa kumridhisha mkeo. Jinga la mwisho wewe.
Kesho tena siku inaanza . Mume unaendelea na tabia zile zile halafu unategemea upewe mchezo wa kiwango....hupewi. NIMESEMA HUPEWI.
Na ndio maana mko humu JF kutoa malalamiko asubuhi asubuhi. Uanaume sio kutaka tendo tu.

NOTE. Mkiwa hamjaoa huwa hamchukulii mwanamke for granted. Mkishaoa mnaona mke sawa na fenicha isiyo na hisia. Ndio chanzo cha haya mnayolalamikia. Mke kufanya tendo la ndoa huwa ni hisia sio tamaa tena ni kitu cha mwisho. Kutwa nzima fanya JAMBO MOJA Tu KATI YA HAYA au yanayofanana na haya kisha uje utoe ushuhuda.
Mmesema kuna michepuko, si mnaendaga!? Mnapewa mzigo. Sasa malalamiko ya nini saa hizi? Ujue upendo wa mke ni original and pure, ila upendo wa mchepuko una expiry date. Msipobadilika mtalalamika sana.
_
 
Kama yote hayo ni kero kwake,bado anafanya nini hapo nyumbani na mzigo hatoi?Asepe kijijini kwao fasta.Asiage.
 
Nafikiri awali haukunielewa.Nilipoandika "kula" nilimaanisha kula chakula kinachoenda tumboni mtu ashibe/atosheke.Umekaa nyumbani kuanzia asubuhi hadi saa nane mchana bila kula halafu unaulizwa kama utakula?Inakuja akilini?
Kiuumbaji wanawake ni watu wa mwaswali, mume kazi yako ni kujibu. Mmekaa ndani na mkeo halafu mnasikia kishindo nje ,mke anakuuliza ni nini hicho? ilhali nyote mpo ndani.....ukimwambia nitajuaje na sote tupo ndani ? ananuna kwa kuona umemjibu vibaya. Badala yake we mwambie tu aaaahhh huyo atakuwa paka wa kwa mama fulani achana naye.

Mke anapiga simu kwa rafiki yake ,simu isipopokewa atakuuliza wewe mume wake, mbona fulani nampigia simu hapokei? Ukimjibu inavyostahili atanuna, badala yake we mjibu tu aaaah! atakuwa anafua nje simu yake kaacha ndani ,mpigie tena baada ya nusu saa

Wao (ke) ni watu wa maswali
 
Yeah!Ni jambo jema kuwa na majibu chanya ingawa ukiwa na mood mbaya ni kero sana.
 
Naam!Ndoa yafaa nini basi bila kudinyana?
Ndo nimesema hivi,bila kuunganisha vikojoleo,ndoa haiwezi ikaitwa ndoa. Ndo wengine huiita ndoano. Na hili jambo watu wanalichukulia kimzahamzaha, lakini jamii yote imebwebwa na hutu tuvitu tuwili. Ndo chanzo cha watu wengi kuteswa,ndo chanzo cha watoto kukosa malezi,maadili na elimu. Ndo chanzo cha wengi kukosa hekima na heshima,ndo chanzo cha familia nyingi kuteketea. Bila hilo tendo,huwezi kuongea na kuelewana na mwenza. Japo pia,kama ulivyosema,tendo litamshika yule aliefundwa na kufundika tuuu. Wengine,shida
 
Back
Top Bottom