Tendo la ndoa chanzo cha kuua ndoa nyingi

Tendo la ndoa chanzo cha kuua ndoa nyingi

Utamaliza hao wanne kama hujaweza kuwa mume bora watakukimbia mmoja baada ya mwingine. Au kama una hela watabaki kula hela yako ila uwe na uhakika kuna njemba zinajipigia. Wapi Dr. Mwaka? Wapi Manara!!
UKIAMUA KUFANYA JAMBO LAKO HAKIKISHA UNALITENDEA HAKI, PIA USIANGALIE MANARA AU DR. MWAKA KWA SABABU HAO HAWAKUWA TAYARI NA HAWAKUMAANISHA KUISHI NA HAO WAKE 4, INATEGEMEA UMEJIPANGA VIPI.
 
Kabla hujamuoa mtu, hakikisha kwanza unammudu kwenye 6 kwa 6. Kipindi cha courtship chote jipime kama wewe na mwenza wako mna enjoy sex to the max. Ndoa ni all about sex na kutimiza majukumu mengine ya kimaisha. Sasa wewe unajiona kabia Kimoja chali, alafu unamuacha mwenzako bila kufika climax. Atakuvumilia miezi 2 mpaka mitatu. Baada ya hapo lazima akunyime tu. Jando zilikuwa zinatusaidia sana.
 
Kama mke anakataa basi tatizo lipo kwako umkuni vizuri/ hasikii raha
Tokea lini mtu akakataa kusikia raha?
Wanawake wakizaa tu upendo unagawanywa mara mbili, mume anaweza kupewa hata robo, them robotatu inahamishwa kwa watoto. Unadhani wanaume wote wanaolalamika hawawaweki wake zao vizuri?
 
Wanawake wakizaa tu upendo unagawanywa mara mbili, mume anaweza kupewa hata robo, them robotatu inahamishwa kwa watoto. Unadhani wanaume wote wanaolalamika hawawaweki wake zao vizuri?
Una uhakika ukimuweka anasikia raha anasikia utamu?
 
Umeongea kuonyesha wanawake ndio mara zote ukataa kutoa utamu
Wakati naamini kuna wanaume pia wanawabania wake zao wakisingizia wamechoka

Lawama zote kwa mwanamke❌
Ukiweka kundi la wanawake 50 tu mbele ya wanaume 100 wenye afya timamu ya uzazi na ukawaambia tu kuwa jamani hawa ni kwa ajili yenu jioni ya leo ni mashoga wasiozidi wawili pekee ndio wanaweza kutoka hawajakojoa hata bao moja hapo!

Ila ukiweka wanawake 100 kwenye kundi la wanaume 50 tu ukawaambia hawa ni kwa ajili yenu jichagulieni tu Hapo utashangaa kukuta hata 35% ya mademu watatoka hawajaguswa.

When it comes to sex wanawake wako very picky. Ila madume huwa hawawazi as long as shimo lipo.
 
Wanandoa wengi wanaonekana kuamka nyumba moja na wenza wao tena wengine wakionekana kuwa na nyuso za furaha lakini kiukweli yanayoendelea humo ndani sio ya kufurahisha hata kidogo.

Ukweli wenyewe wanandoa wengi hawapati tendo kama walivyokuwa wanafikiria kabla ya kuingia kwenye ndoa. Lakini ni ngumu na aibu kubwa kulalamikia mambo haya kwanza unatoa wapi huo ujasiri wa kusema haupewi na mtu umelala naye kitanda kimoja!

Unakuta kabla ya ndoa mambo yalienda kwa kunyooka. Ila sasa mkioana tu ndo konakona zinaanza visingizio vingi vya hapa na pale haviishi. Mara kichwa kitasingiziwa kuumwa mara tumbo nk. Inafika wakati unaona isiwe kesi nawewe unapotezea au ikibidi unaenda kula mchepuko au malaya huko kitaa maisha yanaendelea.

Mkiamka asbh wanazengo wanajua nyinyi ni wenza na mnaishi kwa furaha amani na utulivu.

Kuna ndoa nyiingi zina staili hii ya maisha ya kinafiki maana unakuta ndio tena mmezaa, mna assets kibao za pamoja na watu wengine hawawezi tu maisha ya kuoa na kuacha kila uchao inabidi tu ufe kiume na tai shingoni. Acha maisha yaendelee.
Ninakuona kama ulisoma UDSM.

Umesema ukweli,na hata Baba Abdul ana Kili hikinhiki unachikisema.
 
Basi hakikisha anakupa experience ya kufika kibo. Mi najua below 30yrs wengi hata kufikishwa hawajui ni kitu gani, ni experience wanayopata waliopevuka kiumri na kihisia.
Itakua unalosema lina ukweli sababu nilikua nasikia hilo tendo ni raha unajihisi upo paradise
nilivyotest nimeona ni uongo mtupu bora huo muda nitumie kunywa urojo nisikie utamu
 
Back
Top Bottom