Tendo la ndoa chanzo cha kuua ndoa nyingi

Tendo la ndoa chanzo cha kuua ndoa nyingi

Wanandoa wengi wanaonekana kuamka nyumba moja na wenza wao tena wengine wakionekana kuwa na nyuso za furaha lakini kiukweli yanayoendelea humo ndani sio ya kufurahisha hata kidogo.

Ukweli wenyewe wanandoa wengi hawapati tendo kama walivyokuwa wanafikiria kabla ya kuingia kwenye ndoa. Lakini ni ngumu na aibu kubwa kulalamikia mambo haya kwanza unatoa wapi huo ujasiri wa kusema haupewi na mtu umelala naye kitanda kimoja!

Unakuta kabla ya ndoa mambo yalienda kwa kunyooka. Ila sasa mkioana tu ndo konakona zinaanza visingizio vingi vya hapa na pale haviishi. Mara kichwa kitasingiziwa kuumwa mara tumbo nk. Inafika wakati unaona isiwe kesi nawewe unapotezea au ikibidi unaenda kula mchepuko au malaya huko kitaa maisha yanaendelea.

Mkiamka asbh wanazengo wanajua nyinyi ni wenza na mnaishi kwa furaha amani na utulivu.

Kuna ndoa nyiingi zina staili hii ya maisha ya kinafiki maana unakuta ndio tena mmezaa, mna assets kibao za pamoja na watu wengine hawawezi tu maisha ya kuoa na kuacha kila uchao inabidi tu ufe kiume na tai shingoni. Acha maisha yaendelee.
Hapa sasa ndipo umuhimu wa kutest mitambo unapokuja. Ukiona wanandoa wanalalamikiana kuhusu kutokidhi tendo la ndoa ujue hawakutestiana mitambo kabla ya ndoa. Kama ingekuwa hivyo, huo udhaifu ungegundulika wakati wa kutest. Lakini kuna wakati mwingine wanawake wanakuwa wanafuq tangu uchumba hadi ndoa. Hili nalo ni tatizo.
 
Kama yote hayo ni kero kwake,bado anafanya nini hapo nyumbani na mzigo hatoi?Asepe kijijini kwao fasta.Asiage.
Suluhisho sio mke kuondoka mkuu. Suluhisho ni wote mume na mke kusimama kwenye nafasi yake na mjitahidi kufanyiana vile vitu mlifanyiana wakati wa uchumba. Maana hata huyo mke wa kwanza akiondoka ukaoa mwingine na ukaendelea na tabia zako za ugumu na wa pili naye ataondoka. Na sijasema kuwa upractise yooote niliyoyaandika. Fanya hata moja tu. Na unaweza usifanye siku zote. Unafanya mara kwa mara.
 
Mwanamke akikunyima tendo Huyo,..hakupendi kabisaaa na kuna mahali anatoa tunda hilo kiulaini kabisaaa
 
nje kugumu ndani kugumu,,mnatuchanganya mjue
Huku ndani ndo kugumu zaidi, Yani ukijiona kutoa kwako Kwa mgao, Baki huko huko nje.......🤣🤣🤣
Hapa nashukuru shule zimefungwa nisafiri na watoto nikapumue kidogo......na hapo nimepewa ruhusa ya wiki moja tu, niwe nimerudi au nitafuatwa huko huko🤣🤣🤣
 
Suluhisho sio mke kuondoka mkuu. Suluhisho ni wote mume na mke kusimama kwenye nafasi yake na mjitahidi kufanyiana vile vitu mlifanyiana wakati wa uchumba. Maana hata huyo mke wa kwanza akiondoka ukaoa mwingine na ukaendelea na tabia zako za ugumu na wa pili naye ataondoka. Na sijasema kuwa upractise yooote niliyoyaandika. Fanya hata moja tu. Na unaweza usifanye siku zote. Unafanya mara kwa mara.
Na,kwa nini mke naye asianze kutafuta suluhu?Kwa hiyo akinuna,kukataa kutoa unono na kuleta kisirani ndiyo jibu?Ndoa si ya mume tu.Ni watu wawili,mke na mume,tena wenye utimamu wa akili.Asimtupie mzigo wa suluhu mume tu.Alianzishe.
 
Ndoa za siku hizi za wazinifu,yaani mmezini sana kwa muda wa miaka zaidi ya mitatu ndio mnaenda kufunga ndoa,huku unakuta KE anajisifia eti tunaenda kufunga NDOA TAKATIFU. Siku hizi vijana wengi wanaingia kwenye ndoa wakiwa wameishaichosha miili yao na ngono matokeo yake wanaingia kwenye ndoa wamechoka kimwili kama magari ya mkaa.Wanakutana kwenye ndoa KE kachoka kama FIAT Mbaula,na ME naye kachoka kama LEYLAND Mbaula. Kijana wa kiume anaanza ngono ana miaka 17,huku wa kie akianza akiwa na miaka 16,na misosi yenyewe wanayokula siku hizi ya kisasa hii ndio balaa tena...Nitarudi.
 
Huku ndani ndo kugumu zaidi, Yani ukijiona kutoa kwako Kwa mgao, Baki huko huko nje.......🤣🤣🤣
Hapa nashukuru shule zimefungwa nisafiri na watoto nikapumue kidogo......na hapo nimepewa ruhusa ya wiki moja tu, niwe nimerudi au nitafuatwa huko huko🤣🤣🤣
weeeee jamani,sema ngoja nikahakikishe yakinikuta nije kukumbuka hii comment 🙌🏾😂
 
Back
Top Bottom