Tendo la ndoa chanzo cha kuua ndoa nyingi

Tendo la ndoa chanzo cha kuua ndoa nyingi

Screenshot_20240531-113818.jpg
 
Tungekuwa tunakuwa na honest conversation kama hizi ingesaidia sana kuelewana sana na kuwa na mbinu za maana za kutatua kero ambazo hazina majibu.

Wengi huwa hawajui kuwa sio kila linakosewa huwa inakuwa ni makusudi. Kuna mambo huwa yanatokea kama matokeo ya kutojua nini cha kufanya next na kushindwa kumshirikisha mwenza maana hayupo katika mkao wa uelewa au kuwa positive na wewe.

Unamwambia mwanamke wife umejiachia sana mwili na mimi napenda vile ukiwa na mwili wako ule wa siku zote. Mwenzako anachukulia umesema toka umezaa watoto umebadilika maumbile umekuwa kama mzee sikutaki tena.
Binadamu anaweza jisababishia changamoto ama kwa wengine kwa kutokujua ama kwa makusudi,vikichagizwa na uvivu, ujinga na wivu
 
Wanandoa wengi wanaonekana kuamka nyumba moja na wenza wao tena wengine wakionekana kuwa na nyuso za furaha lakini kiukweli yanayoendelea humo ndani sio ya kufurahisha hata kidogo.

Ukweli wenyewe wanandoa wengi hawapati tendo kama walivyokuwa wanafikiria kabla ya kuingia kwenye ndoa. Lakini ni ngumu na aibu kubwa kulalamikia mambo haya kwanza unatoa wapi huo ujasiri wa kusema haupewi na mtu umelala naye kitanda kimoja!

Unakuta kabla ya ndoa mambo yalienda kwa kunyooka. Ila sasa mkioana tu ndo konakona zinaanza visingizio vingi vya hapa na pale haviishi. Mara kichwa kitasingiziwa kuumwa mara tumbo nk. Inafika wakati unaona isiwe kesi nawewe unapotezea au ikibidi unaenda kula mchepuko au malaya huko kitaa maisha yanaendelea.

Mkiamka asbh wanazengo wanajua nyinyi ni wenza na mnaishi kwa furaha amani na utulivu.

Kuna ndoa nyiingi zina staili hii ya maisha ya kinafiki maana unakuta ndio tena mmezaa, mna assets kibao za pamoja na watu wengine hawawezi tu maisha ya kuoa na kuacha kila uchao inabidi tu ufe kiume na tai shingoni. Acha maisha yaendelee.
pole sana mkuu
tafuta amani, uvumilivu wa hivyo mimi siuwezi
 
Lakini mimi na laumu vicoba na mikopo ya kausha damu. Ndo imetufikisha hapa.
 
Hata hao wanaojituma wakiwekwa ndani nao wataanza kutoa Kwa mgao.
Nadhani issue ni kiwe na jando na unyago wa kisasa.....watu wafundishwe saikolojia za jinsia nyingine......mfano Mimi tangia nilipojifunza kuwa Kwa mwanaume sex ni Kama mafuta kwenye gari na Kwa mwanamke ni Kama maji kwenye rejeta (Dr Mauki), wala sina ugomvi na mtu, akiomba nampa......gari bila mafuta litaendaje?

Mafunzo muhimu, watu wafundishwe.
Mkuu Mamy K umeongea ukweli tupu. I hope ungekuwa mke wangu. Ungenifaa sana. Yaani we acha tu!
 
Umeongea kuonyesha wanawake ndio mara zote ukataa kutoa utamu
Wakati naamini kuna wanaume pia wanawabania wake zao wakisingizia wamechoka

Lawama zote kwa mwanamke❌
Umeongea ukweli mtupu be blessed 💯
 
Hiki ni kipindi cha mpito tu, lakini huko mbele ya safari wanawake watawabembeleza wanaume wawaowe na watajihudumia wenyewe ili wawastiri.

Kwa sasa tupo kwenye kizazi ambacho wanawake wengi wanashindana na nature, ni swala la muda tu nature itawashinda na watarudi kwenye mstari kama ulivyo mpango wa mungu.
Umeongea vema sana Dr Mwahija Matola. Hili jambo sio muda mwingi tutaanza kulishujudia hapa nchini.
 
Wanandoa wengi wanaonekana kuamka nyumba moja na wenza wao tena wengine wakionekana kuwa na nyuso za furaha lakini kiukweli yanayoendelea humo ndani sio ya kufurahisha hata kidogo.

Ukweli wenyewe wanandoa wengi hawapati tendo kama walivyokuwa wanafikiria kabla ya kuingia kwenye ndoa. Lakini ni ngumu na aibu kubwa kulalamikia mambo haya kwanza unatoa wapi huo ujasiri wa kusema haupewi na mtu umelala naye kitanda kimoja!

Unakuta kabla ya ndoa mambo yalienda kwa kunyooka. Ila sasa mkioana tu ndo konakona zinaanza visingizio vingi vya hapa na pale haviishi. Mara kichwa kitasingiziwa kuumwa mara tumbo nk. Inafika wakati unaona isiwe kesi nawewe unapotezea au ikibidi unaenda kula mchepuko au malaya huko kitaa maisha yanaendelea.

Mkiamka asbh wanazengo wanajua nyinyi ni wenza na mnaishi kwa furaha amani na utulivu.

Kuna ndoa nyiingi zina staili hii ya maisha ya kinafiki maana unakuta ndio tena mmezaa, mna assets kibao za pamoja na watu wengine hawawezi tu maisha ya kuoa na kuacha kila uchao inabidi tu ufe kiume na tai shingoni. Acha maisha yaendelee.
hii ni kweli tangu nimeoa sipigi shio aisee hamu imeisha ! Najuta kumuweka ndani

K za kuibia ndo zinaleta hamu
 
Kwahiyo tukubaliane mke mmoja hatoshi au nyumba ndogo concubine zihalalishwe tu.
Mke mmoja anachosha Dr Mwahija. We fikiria uwe na mke ambaye anataka umdinye kifo chaa mende tu wakati huko mtaani kuna wanawake kibao wanaonyumbulika kwa kila namna....lazima tu mtu uchepuke.
 
Na jeneza langu litagoma kuingia kaburini mpaka nizikwe na kine.na kimoja kama Shaka Zulu...
😂😂😂😂😂😂😂😂
Smart usiku huu ujue Nacheka hadi nataka kujikojolea hapa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!
Kama nakuona unavoneng'eneka hapo 🤭😂!

Maisha ndio hayahayaaa lo enjjooooyyyy tendo kwaraha zakooo!
 
Back
Top Bottom