Tendo la ndoa chanzo cha kuua ndoa nyingi

Binadamu anaweza jisababishia changamoto ama kwa wengine kwa kutokujua ama kwa makusudi,vikichagizwa na uvivu, ujinga na wivu
 
pole sana mkuu
tafuta amani, uvumilivu wa hivyo mimi siuwezi
 
Lakini mimi na laumu vicoba na mikopo ya kausha damu. Ndo imetufikisha hapa.
 
Mkuu Mamy K umeongea ukweli tupu. I hope ungekuwa mke wangu. Ungenifaa sana. Yaani we acha tu!
 
Umeongea kuonyesha wanawake ndio mara zote ukataa kutoa utamu
Wakati naamini kuna wanaume pia wanawabania wake zao wakisingizia wamechoka

Lawama zote kwa mwanamke❌
Umeongea ukweli mtupu be blessed πŸ’―
 
Umeongea vema sana Dr Mwahija Matola. Hili jambo sio muda mwingi tutaanza kulishujudia hapa nchini.
 
Yaani kwamba Watu wanaoana kwa ajili ya tendo la ndoa? Labda hawa watoto wa tisini na 2000 hapo
Wewe mwenzetu unaoana lengo lipi zaidi ya tendo la ndoa? Unadhani ni kwann mwanaume kama hasimamishi ama uke wa mwanamke umeziba ndoa haifungwi?
 
hii ni kweli tangu nimeoa sipigi shio aisee hamu imeisha ! Najuta kumuweka ndani

K za kuibia ndo zinaleta hamu
 
Kwahiyo tukubaliane mke mmoja hatoshi au nyumba ndogo concubine zihalalishwe tu.
Mke mmoja anachosha Dr Mwahija. We fikiria uwe na mke ambaye anataka umdinye kifo chaa mende tu wakati huko mtaani kuna wanawake kibao wanaonyumbulika kwa kila namna....lazima tu mtu uchepuke.
 
Na jeneza langu litagoma kuingia kaburini mpaka nizikwe na kine.na kimoja kama Shaka Zulu...
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Smart usiku huu ujue Nacheka hadi nataka kujikojolea hapa 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣!
Kama nakuona unavoneng'eneka hapo πŸ€­πŸ˜‚!

Maisha ndio hayahayaaa lo enjjooooyyyy tendo kwaraha zakooo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…