Tendo la Ndoa lifanyike mara ngapi kwa wiki kwa wanandoa/wapenzi?

Ruka siku moja moja ili kutengeneza tension

Msipende kuparamiana tu kisa mko available
 
Ukifanya kila siku shuka haziwezi kuloa kwa hyo wiki mara mbili Kama unakura vyakula vizuri hasa ugari wa Dona duuuuuuh
 
Kwa sisi wzume zetu walio hamishiwa DODOMA tunapigana SHOW mara mbili kwa mwezi.
Kwa mnaoishi pamoja, hakikisha kila asubuhi sex inakuja baada ya SALA ndio mtoke kitandani, yaani utelezi wako utumie vizuri kabla hujazeeka maana utakauka.
 
Inategemea ndoa mbichi au kukuu. Unadaiwa ADA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…