Tendo la Ndoa lifanyike mara ngapi kwa wiki kwa wanandoa/wapenzi?

Tendo la Ndoa lifanyike mara ngapi kwa wiki kwa wanandoa/wapenzi?

Kulingana na utafiti uliochapishwa kwenye jarida la labia ya kujamiiana unaonesha, wanandoa wastani hufurahia tendo la ndoa mara 54 kwa mwaka. Huu ni utafiti, tuje kwenye uhalisia.

Wengi tunapenda sana hili tendo. Japo msukumo wa kulifanya unatofautiana kati ya mtu na mtu. Wapenzi walioanza kuishi pamoja kuna uwezekano mkubwa wa kufanya kila siku. Wanandoa wapya pia ni hivyo pia.

Lakini pia wake zetu hawa huchoka na majukumu ya kazi au malezi ya watoto nyumbani na huathiri hamu nzima ya tendo la ndoa. Je, ili tendo la ndoa wote wafurahie linapaswa kufanywa kila siku? Mara ngapi kwa wiki?

Wewe una uzoefu gani kwenye hili jambo?

Nawasilisha.
Kila nikipata hamu napiga mara3 hadi5 kwa wiki.
 
Mara 3 kwa wiki hiyo ni kwa wastani.
Ikipungua sana bas nyandua mara 2 kwa wiki..hii ni kwa wanaume tu!!


Kwa wanawake anatakiwa anyanduliwe mpaka nyege zimuishe haijalish mara ngap kwa wiki mpaka kiharagwe (kisimi) kile kiseme bas!!
 
Ukishakuwa katika ndoa ndio utagundua japo linaitwa tendo la ndoa lakini ni nadra sana kufanyika humo ndoani.
Unaweza kuta watu wanalala kitanda kimoja wakamaliza hata miezi 6 bila hata ya kugusana.
Ndoa za wapi hizo yaani huyu mama nyonyolii aniguse na mgongo wake siku moja tuu asipewe haki yake utani huo...
 
Siku hizi tendo la ndoa halipo lipo tendo la ulawiti huoni hata wake wa maaskofu wanalawitiwa muhimu ndoa za mikataba ziaze
 
Siku hizi tendo la ndoa halipo lipo tendo la ulawiti huoni hata wake wa maaskofu wanalawitiwa muhimu ndoa za mikataba ziaze
Sii wote mkuu, tendo la ndoa lipo na matukio ya namna hiyo yapo. Hizo ndoa za mikataba ni issue. Usisahau mkiachana mali mnagawana
 
Back
Top Bottom