Tendo la Ndoa lifanyike mara ngapi kwa wiki kwa wanandoa/wapenzi?

Tendo la Ndoa lifanyike mara ngapi kwa wiki kwa wanandoa/wapenzi?

Biashara ikienda vizuri nampa yote na biashara ikienda vibaya nataka yote kupunguza machungu
🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe unafaa kabisa
Ule wastani wa mara 54 kwa mwaka unapitiliza kwa speed
 
Sex drive ipo tofauti kwa mtu na mtu...hivyo hakuna kanuni ya kupangiana ni lini na wakati gani wa kukutanisha vikojoleo
 
Back
Top Bottom