Tendo la Ndoa lifanyike mara ngapi kwa wiki kwa wanandoa/wapenzi?

Tendo la Ndoa lifanyike mara ngapi kwa wiki kwa wanandoa/wapenzi?

Aaf wapo umu wanaona unawatolea siri zao🤣🤣
Ukiendelea kufunguka atakubania
Wee bwna unadhani tunagegeda mmoja...tunawapamga tuu. Tena kama hawa jamaa ambao wamehamishiwa dodoma ndio tunajiachia kabisa.
Ila shida yao ujue kuna safari za bure nyingi tuu utapiga
 
Wee bwna unadhani tunagegeda mmoja...tunawapamga tuu. Tena kama hawa jamaa ambao wamehamishiwa dodoma ndio tunajiachia kabisa.
Ila shida yao ujue kuna safari za bure nyingi tuu utapiga
Haya maisha bila watu kama nyie watu hawawez kupiga show za maana.
Mkuu hapo ni wake za watu. Vipi mke wako unakua na ugwadu ukirudi home?
 
Haya maisha bila watu kama nyie watu hawawez kupiga show za maana.
Mkuu hapo ni wake za watu. Vipi mke wako unakua na ugwadu ukirudi home?
Mie mjinga nioe🤣🤣🤣🤣 kuoa sasa nikujitakia majanga tuu. Watu wenyewe kwenye ndoa wanagegedana mara 54 kwa mwaka wakati mie nimeshazoea kuoata mbususu mara 250 kwa mwaka
 
Mie mjinga nioe🤣🤣🤣🤣 kuoa sasa nikujitakia majanga tuu. Watu wenyewe kwenye ndoa wanagegedana mara 54 kwa mwaka wakati mie nimeshazoea kuoata mbususu mara 250 kwa mwaka
😀😀namna hiyo ukioa utamuua uyo mke na hizi mambo
 
Alaf umeongea point kinoma.
Kuna danger days. Kuna watu kutumia ndom hawaezi yan kwaio show inapunguzwa mzuka
Anyway, kweli sisi hatujawahi kutumia madawa; danger ni ndom tu....aise huwa tunananunua na kuweka kabatini....

Sie tushazoea tunaona kawaida tu
 
Inategemeana na Umri mlionao! Sisi wa > 50,ni mpaka mmoja ajisikie! Maana mlishachokana kiasi kwamba mnaishi tu kama Kaka na Dada.
Mnaweza kukata hata mwezi bila kuwa na hamu.
mmmh! tukaze moyo!
 
Kulingana na utafiti uliochapishwa kwenye jarida la labia ya kujamiiana unaonesha, wanandoa wastani hufurahia tendo la ndoa mara 54 kwa mwaka. Huu ni utafiti, tuje kwenye uhalisia.

Wengi tunapenda sana hili tendo. Japo msukumo wa kulifanya unatofautiana kati ya mtu na mtu. Wapenzi walioanza kuishi pamoja kuna uwezekano mkubwa wa kufanya kila siku. Wanandoa wapya pia ni hivyo pia.

Lakini pia wake zetu hawa huchoka na majukumu ya kazi au malezi ya watoto nyumbani na huathiri hamu nzima ya tendo la ndoa. Je, ili tendo la ndoa wote wafurahie linapaswa kufanywa kila siku? Mara ngapi kwa wiki?

Wewe una uzoefu gani kwenye hili jambo?

Nawasilisha.
Mi natakaga game kila siku usiku viwili asubuhi kimoja daily, infact mwanamke mchoyo wa shoo apite mbali kbsa ntampiga mangumi na mafundo kedekede
 
Uzuri mwenyezi Mungu mwenyewe alishatutengea siku za kupumzika

Zile zinazobaki tunazitendea haki na tunafanya kadri tunavyojiskia🤣🤣🤣🤣
Ikiwa gereji kumwaga oil mapumziko😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom