Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee bwna unadhani tunagegeda mmoja...tunawapamga tuu. Tena kama hawa jamaa ambao wamehamishiwa dodoma ndio tunajiachia kabisa.Aaf wapo umu wanaona unawatolea siri zao🤣🤣
Ukiendelea kufunguka atakubania
Haya maisha bila watu kama nyie watu hawawez kupiga show za maana.Wee bwna unadhani tunagegeda mmoja...tunawapamga tuu. Tena kama hawa jamaa ambao wamehamishiwa dodoma ndio tunajiachia kabisa.
Ila shida yao ujue kuna safari za bure nyingi tuu utapiga
Mie mjinga nioe🤣🤣🤣🤣 kuoa sasa nikujitakia majanga tuu. Watu wenyewe kwenye ndoa wanagegedana mara 54 kwa mwaka wakati mie nimeshazoea kuoata mbususu mara 250 kwa mwakaHaya maisha bila watu kama nyie watu hawawez kupiga show za maana.
Mkuu hapo ni wake za watu. Vipi mke wako unakua na ugwadu ukirudi home?
Ndioo maana mwanaume unashauriwa pamoja na kuwowa, unatakiwa kuwa na michepuko miwili.😀😀namna hiyo ukioa utamuua uyo mke na hizi mambo
Hii ratiba ikishukia siku zake hubadilishi?
Siku zisizo kwenye ratiba mnanyimana?
Anyway, kweli sisi hatujawahi kutumia madawa; danger ni ndom tu....aise huwa tunananunua na kuweka kabatini....Alaf umeongea point kinoma.
Kuna danger days. Kuna watu kutumia ndom hawaezi yan kwaio show inapunguzwa mzuka
mmmh! tukaze moyo!Inategemeana na Umri mlionao! Sisi wa > 50,ni mpaka mmoja ajisikie! Maana mlishachokana kiasi kwamba mnaishi tu kama Kaka na Dada.
Mnaweza kukata hata mwezi bila kuwa na hamu.
Mi natakaga game kila siku usiku viwili asubuhi kimoja daily, infact mwanamke mchoyo wa shoo apite mbali kbsa ntampiga mangumi na mafundo kedekedeKulingana na utafiti uliochapishwa kwenye jarida la labia ya kujamiiana unaonesha, wanandoa wastani hufurahia tendo la ndoa mara 54 kwa mwaka. Huu ni utafiti, tuje kwenye uhalisia.
Wengi tunapenda sana hili tendo. Japo msukumo wa kulifanya unatofautiana kati ya mtu na mtu. Wapenzi walioanza kuishi pamoja kuna uwezekano mkubwa wa kufanya kila siku. Wanandoa wapya pia ni hivyo pia.
Lakini pia wake zetu hawa huchoka na majukumu ya kazi au malezi ya watoto nyumbani na huathiri hamu nzima ya tendo la ndoa. Je, ili tendo la ndoa wote wafurahie linapaswa kufanywa kila siku? Mara ngapi kwa wiki?
Wewe una uzoefu gani kwenye hili jambo?
Nawasilisha.
Ikiwa gereji kumwaga oil mapumziko😂😂😂😂Uzuri mwenyezi Mungu mwenyewe alishatutengea siku za kupumzika
Zile zinazobaki tunazitendea haki na tunafanya kadri tunavyojiskia🤣🤣🤣🤣
Total days in month divide by number that you intercourse you will get the averageBut how many times on average km mnapendana
Ongeza moja, itapendeza zaidi.Binafsi si chini ya mara tatu kwa wiki.
Kwani wewe unatumia Engine [emoji16][emoji28][emoji23][emoji1787]Ikiwa gereji kumwaga oil mapumziko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu acha kukaza kichwa niliye mquote kaelewaKwani wewe unatumia Engine [emoji16][emoji28][emoji23][emoji1787]
Mara moja kwa mwezi
Hahahah nakubaliana nawewe lakini majukumu ya familia na uchovu wa kazi haviongezi au kupunguza siku za kufanya tendo?