Tendo la Ndoa lifanyike mara ngapi kwa wiki kwa wanandoa/wapenzi?

Tendo la Ndoa lifanyike mara ngapi kwa wiki kwa wanandoa/wapenzi?

Uzuri mwenyezi Mungu mwenyewe alishatutengea siku za kupumzika

Zile zinazobaki tunazitendea haki na tunafanya kadri tunavyojiskia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji1316][emoji1316][emoji28]
 
[mention]Kelsea [/mention]
Si kama tulivyokubaliana
Kua ni kila siku
 
Kulingana na utafiti uliochapishwa kwenye jarida la labia ya kujamiiana unaonesha, wanandoa wastani hufurahia tendo la ndoa mara 54 kwa mwaka. Huu ni utafiti, tuje kwenye uhalisia.

Wengi tunapenda sana hili tendo. Japo msukumo wa kulifanya unatofautiana kati ya mtu na mtu. Wapenzi walioanza kuishi pamoja kuna uwezekano mkubwa wa kufanya kila siku. Wanandoa wapya pia ni hivyo pia.

Lakini pia wake zetu hawa huchoka na majukumu ya kazi au malezi ya watoto nyumbani na huathiri hamu nzima ya tendo la ndoa. Je, ili tendo la ndoa wote wafurahie linapaswa kufanywa kila siku? Mara ngapi kwa wiki?

Wewe una uzoefu gani kwenye hili jambo?

Nawasilisha.
Kila faragha ipatikanapo
 
Sisi wanaume tulio wengi tunaubinafsi wa kujiangalia sisi tu ili kutimiza haja zetu! hatuna utamaduni wa kumzingatia mwenzetu nae kama amefika ktk peak!

Mimi ratiba yangu tendo ni kila siku ila ni 1 tu ambalo nabalance na kumfikisha mwenzangu nae ktk peak. (7x7) mapumziko ni siku za hedhi tu.
 
Ngoja nipitie maandiko njue yanasemaje halfu ntakujibu
 

Attachments

  • 20220922_195027.jpg
    20220922_195027.jpg
    57.3 KB · Views: 19
Sie bodaboda kugegeda wake za watu ndio hobby yetu mzeya.
Wanaume wamekuwa maboya eti huyo bodaboda wangu jina lake mzabzab🤣🤣🤣🤣
Aaf wapo umu wanaona unawatolea siri zao🤣🤣
Ukiendelea kufunguka atakubania
 
Legends watupe uzoefu kidogo maana vijana walio single tunamihemko sana tunawaza (attitude) kumwaga moto tu, all the time. Waliooa atleast 5yrs watuambie. Maana unaweza taka show ukakumbushwa ada ya dogo anadaiwa 500k mood ikakata ghafla ohooo!
Unadaiwa ada ya mtoto
Wife ana deni kikoba
Ushakopa kwa jamaa zako
Kamoja tu kwa wiki😃
 
Huwa hatutumii uzazi wa mpango, tunafuata Kalenda.
So sisi tunachakachuliana sana wakati wa danger...bila kuuaza mechi...yaani kila siku hadi joto likishuka (danger zone ikiisha) tunabaki tu hamna hata kitu....
Wakati wa danger ni hatari nyie....ukigusa twa na bibie mnara ushasoma...
Alaf umeongea point kinoma.
Kuna danger days. Kuna watu kutumia ndom hawaezi yan kwaio show inapunguzwa mzuka
 
Back
Top Bottom