1881Okoza
JF-Expert Member
- Oct 3, 2022
- 693
- 949
Wanagusa nje tu ila ndani hawagusiUnaweza kuta watu wanalala kitanda kimoja wakamaliza hata miezi 6 bila hata ya kugusana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanagusa nje tu ila ndani hawagusiUnaweza kuta watu wanalala kitanda kimoja wakamaliza hata miezi 6 bila hata ya kugusana.
Ukuzechora ishakukuta nini shosti?mgao si mpango, unajua ukimpa mwanaume mwengine anataka akomoe, mtu unapigwa show mpaka unapepea kwa feni kupunguza maumivu.
Duuuh shosti tena? Mimi kidume siwezi kua shosti, ila nilishapelekea mtu moto hadi akaniomba poo niwaite zimamotoUkuzechora ishakukuta nini shosti?
Kwa wiki kufanya sex ijumaa na jumapili kabla ya kwenda kanisani watoto wakienda kucheza.Kulingana na utafiti uliochapishwa kwenye jarida la labia ya kujamiiana unaonesha, wanandoa wastani hufurahia tendo la ndoa mara 54 kwa mwaka. Huu ni utafiti, tuje kwenye uhalisia.
Wengi tunapenda sana hili tendo. Japo msukumo wa kulifanya unatofautiana kati ya mtu na mtu. Wapenzi walioanza kuishi pamoja kuna uwezekano mkubwa wa kufanya kila siku. Wanandoa wapya pia ni hivyo pia.
Lakini pia wake zetu hawa huchoka na majukumu ya kazi au malezi ya watoto nyumbani na huathiri hamu nzima ya tendo la ndoa. Je, ili tendo la ndoa wote wafurahie linapaswa kufanywa kila siku? Mara ngapi kwa wiki?
Wewe una uzoefu gani kwenye hili jambo?
Nawasilisha.
mrembo mambo!kwa wiki kufanya sex ijumaa na jumapili kabla ya kwenda kanisani watoto wakienda kucheza.
kwa mwezi mara 80 kwa mwaka, na hapo ujue mwanaume ana mtu wake wa ofisini, bank teller, na baa anapokunywa,
kwa siku unapiga morning glory kimoja, jioni akitoka kazini unampa kimoja na saa ya kulala usiku unampa ki moja, hapo tayari dozi ya 3* 1 ;🤣🤣kwa mwezi mara 80?
Utaua mtu
wewe shida yako si ukojoe ama unapambana umkojoleshe na mwenzio?Kinacho matter sio idadi, NI QUALITY
sasa tusipopigwa paip vizuri sindio tunajikuta tunanunua dildo tyujifikishe kileleni wenyewe?Kwanini
Hapa inategemea zaidi umri kama ni below 30 hata Kila siku kimoja kimoja sio mbaya ila kama ni above 30 basi mara tatu inatosha kabisaKuna msemo unaosema "Too much is Harmful", sasa naomba kujua kitaalamu Mwanaume anapaswa kushiriki tendo mara ngap kwa wiki?