GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 6,260
- 14,470
Hakika, kukulana ni maamuzi ya mtu.Yameshawahi kuruhusu na hakuna kilichofanyika..naona ni kujiendekeza na kutokujiheshimu tu
ππDADEKI..
hivyo dada wa watu network zinajikuta zinaingiliana ππ
Hata Mimi nimehisi ivyo.Hakika, kukulana ni maamuzi ya mtu.
Pengine huo muunganiko, unaongelewa hapo juu ni wa kiroho zaidi na sio kimwili.
Jmn jmn1 KOR. 6:16
Au hamjui ya kuwa yeye aliyeungwa na kahaba ni mwili mmoja naye? Maana asema, Wale wawili watakuwa mwili mmoja.
Akikuomba papa?Mbona nimeachana na ex wangu..!![emoji848]
Kwani alikuomba ukamkatalia au hajawahi omba?Yameshawahi kuruhusu na hakuna kilichofanyika..naona ni kujiendekeza na kutokujiheshimu tu
Leo utausema ukweli tu..πππ
Kwa wote hiyo
Niliwahi kulala na madada poa back in the days. Hiyo kitaalamu imekaaje ?Hakika kama umeshiriki tendo la ngono na mwanamke au mwanaume tambua huyo hutaachana nae milele ilo ni agano la milele hadi kufa hivyo tunzeni viungo vyenu vya siri
SimpiAkikuomba papa?
Acha ku force mambo bwanaYou have no power to resist that spiritual connection
Wewe hizo roho za hao makaaba uko nazo na ndio maana ukiwa mbali na mkeo kma una mke lazima uwashwe kuwatafuta kataaaaNiliwahi kulala na madada poa back in the days. Hiyo kitaalamu imekaaje ?
Na mimi nkikuomba je mamy..? Mi sio ex wakoSimpi
Mnavyojidanganya eehLeo utausema ukweli tu..π
Kwanini ishindikane kwanini..?
Sisi me huwa tunatekeleza kazi ya bwana maana aliteta nasi e nendeni mkaijaze dunia..π
Ukiniomba Nini?Na mimi nkikuomba je mamy..? Mi sio ex wako
PapaUkiniomba Nini?
A we kuwa na adabu..πMnavyojidanganya eeh
Hizo roho mnabaki nazo Kama ilivyo kwetu.
Papa kaombe wavuviPapa
Kama wakulana roho haiwezi kukuacha salama according to mleta Uzi..ππ eti ya mkeo..Basi jitulizeA we kuwa na adabu..π
Mi siwezi kubaki na roho ya mtu labda mke wangu tu nitakae kuja kumuoa..usiniwangie tena nakemea toka pepo..ππ
Acha uchoyo mamuPapa kaombe wavuvi