Tengeneza kiinua mgongo chako Usije ukatoa laana kwa wanao

Somo zuri Land vs UTT.
 
Ardhi haiwez kukusave ukipata shida ya 3M chap bila kuiuza yote hata kama ina thamani ya 30M,

Kingine huwez nunua ardhi kwa kuwekeza 30k kila mwezi
Mkuu hii bond fund unajipangia miaka ya kuwekeza .mfano miaka 10...au mpaka ufike miaka retirement age 60

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Ishu ya kufikisha 60 isikuumize kichwa mzee, warithi si wapo. Ni bora ukifika huo umri uwe nazo kuliko kufika uanze kusumbuana na watoto na hii hali nut zinazidi kubana kila kukicha....
 
Ishu ya kufikisha 60 isikuumize kichwa mzee, warithi si wapo. Ni bora ukifika huo umri uwe nazo kuliko kufika uanze kusumbuana na watoto na hii hali nut zinazidi kubana kila kukicha....
Kabisa, ukifika sawa, usipofika sawa
 
Hapana mkuu,
Muda wa kuwekeza unajipangia mwenyewe, yan unapotaka kuitoa unaitoa tu yote
Nmeenda juz office zao .....nikapewa maelekezo mzur sana nikatupia la laki kangu.....Leo mkeka umesoma na kakiasi kimeongezeka [emoji91][emoji91] inshallah...mdogo mdg tutafika

Japo Kuna Mzee nae mstaafu mtarajiwa alikuja ....kuulizia Baada ya kupewa ushauri gafla kasema anadumbukiza 30milion[emoji32][emoji32][emoji51]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Kwa miaka 10 inakuwaje?
 
Huu uzi ntauprint nikawape vijana wangu
 
Calculator yao UTT
 
Uzi mubashara ila ungetumia kikokotoo cha UTT ingekuw poa nao pia wana vikokotoo vyao vinaonyesha mapato kwa kila aina uwekezaji kuanzia wa kila mwez na ule wa mara moja.. so unaweza ukajipigia hesabu kuona kama Utaweka 30k kwa miaka 20 au ukaiweka 10m na kuisusa kwa miaka 10 utapata sh ngapi
 
Ni kweli, nimeenda kwenye calculator yao nayo inaleta hesabu hiz hizi tu hazitofautian
 
Utajiri at least unaanza kuonekana ukianza na miaka 20+ ,
Kwa miaka 10 lazima uanze na initial capital kubwa ndio utaona pesa ya maana ila sio hizi za kuweka 50,000 kila mwezi
Yaaah mkuu....Kuna muda inabidi uweke mzigo heavyweight......kama IKIPATA pesa isiyo na kazi

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…