Ukiweza unaizika hata 20M ikae huko tukutane wakati wa uzee, sema ndo hivyoYaaah mkuu....Kuna muda inabidi uweke mzigo heavyweight......kama IKIPATA pesa isiyo na kazi
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kaka mimi naomba utumie muda wako utuelekeze namna ya kufungua akaunt UTT ya style hiyo. Hii dunia imevaa chupi. Mimi nimeanza kujitegemea miaka mingi tangu nikiwa mwanafunzi nasoma chuo. Kwa kifupi saa hizi ningekuwa nna hata milioni 100 huko UTT.Ardhi haiwez kukusave ukipata shida ya 3M chap bila kuiuza yote hata kama ina thamani ya 30M,
Kingine huwez nunua ardhi kwa kuwekeza 30k kila mwezi
Mfano account ya liquid....unavoanza lazima uweke 100,000.....kianzioNa Je, mtu anaruhusiwa kuweka kiasi anachotaka ila isiwe below the agreed amount. Mfano umeweka mkataba wa 50,000 kila mwezi ila ukaamua kuwa unaweka zaidi ya 50, vipi inaruhusiwa?
Kiwango ni chochote boss kuanzia 8500,Na Je, mtu anaruhusiwa kuweka kiasi anachotaka ila isiwe below the agreed amount. Mfano umeweka mkataba wa 50,000 kila mwezi ila ukaamua kuwa unaweka zaidi ya 50, vipi inaruhusiwa?
Fanya hiv, nenda Tawi lolote la CRDB karibu yako, watakupa full info, na watakusaidia kuwekeza pia,Kaka mimi naomba utumie muda wako utuelekeze namna ya kufungua akaunt UTT ya style hiyo. Hii dunia imevaa chupi. Mimi nimeanza kujitegemea miaka mingi tangu nikiwa mwanafunzi nasoma chuo. Kwa kifupi saa hizi ningekuwa nna hata milioni 100 huko UTT.
Anyway, it's not over until it's over. Natupia 5m kisha naweka mdogo mdogo kila mwezi.
Kwenye ukoo wetu tuna historia ya kuishi sana. Fainali uzeeni.
HaswaPwenti ya msingi sana hii
Mie niliweka 11M mara moja tu mfuko wa ukwasi, hivi sasa imefika 16m+H
Hio kujirudisha nyuma nzuri sana,
Una deposit 10M kisha unaendelea kidogo kidogo
Ina mda ganiMie niliweka 11M mara moja tu mfuko wa ukwasi, hivi sasa imefika 16m+
Miaka 3Ina mda gani
Good sana uwekezaji mzuriMiaka 3
Miaka mingap imekaa?Mie niliweka 11M mara moja tu mfuko wa ukwasi, hivi sasa imefika 16m+
mitatuMiaka mingap imekaa?
Miaka mingap imekaa?
Malengo yako ni miaka mingapimitatu
Miaka 25 ila naruhusiwa kuitoa muda wowoteMalengo yako ni miaka mingapi