AlexProsper
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 3,416
- 6,290
Hii kuweka kila mwezi utekelezaji wake mgumu labda utie mzigo baada ya muda fulani unapoona umeupata,let say lak2 au 4 n.k unatupiaUtt amis ni nzuri kwa ajiri ya kujitengenezea kiinua mgongo chako ni nzuri kwa mfanya biashara, mjasiliamali, na mwajiriwa wa serikali na private ,Kuna kipindi utachoka tu. Utt amis ni best option
Ata 50k tu inatoshaHii kuweka kila mwezi utekelezaji wake mgumu labda utie mzigo baada ya muda fulani unapoona umeupata,let say lak2 au 4 n.k unatupia
Kwa anayedunduliza kupeleka monthly ni ishu,labda uwe una mshahara ambao upo fixed kila mwezi
Iko poa Ata hiyoHii kuweka kila mwezi utekelezaji wake mgumu labda utie mzigo baada ya muda fulani unapoona umeupata,let say lak2 au 4 n.k unatupia
Kwa anayedunduliza kupeleka monthly ni ishu,labda uwe una mshahara ambao upo fixed kila mwezi
Wanaweka wao faida wanakula wanakuachia cha,kwakoIngekuwa nssf wanaweka pesa ya mwajiriwa uko ingekuwa poa sana
InawezakuwaWanaweka wao faida wanakula wanakuachia cha,kwako
Ina make senseWanaweka wao faida wanakula wanakuachia cha,kwako
Itakua ni 28M na kituNIKIWEKA UTT 20MIL (compound interest).....AFTER 3 YRS NTAPATA NGAPI ?
Kumbe ukiacha miaka 10 mbele utaondoka na kiinua mgonga kama miaka 3 tu ni 28 MilioniItakua ni 28M na kitu
Angalia hapo mwisho kwenye expected amount View attachment 3448118
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Utt sio lazima ifike miaka 60 unaweza weka hela uku inakua ili kupata ela ya uwekezaji mwingine rather than kukaa bank bila riba yoyote.Sawa Beberu, lakini si kila mtu ana uhakika wa kuishi miaka 60 au kupata hiyo 14% kila mwaka, life is unpredictable. Plus, inflation inaweza kula hiyo return kimya kimya. Sometimes investing in skills, businesses, or even land gives more flexibility and control than UTT tu.
Nimefanya Average tu br, haina shida hata ikiwa hio 12 au 13,MASWALI
1. Kwanini UTT wakati kuna Mutual fund 6 ndani ya Bongo?
2. Nani kakwambia kila mwaka interest ni 14% wakati sio fixed interest??
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Ndio, Muda wowote ukipata majanga unasepa na chako bila kelele na mtuUtt sio lazima ifike miaka 60 unaweza weka hela uku inakua ili kupata ela ya uwekezaji mwingine rather than kukaa bank bila riba yoyote.
Mfano ukiwa wa 10m utt u can get 100k monthly while bank ukipewa sana ni 13%
Interest rate zao zinakaribiana so haina tofauti sana, wew chagua mmoja ishi nao tuNa kwa maoni ya wadau nilichojifunza hii mifuko miwili ni mizuri Liquid (ulwasi) fund,na bond fund
Kama uko vizuri unakuwa akaunt mifuko yote miwili,huku unatupia kote
Bond fund unaiacha mpaka umri wa kustaafu miaka 60 na liquid fund unaamua kukuzia mtaji tu na kuitoa anytime
Nidhamu tu inahitajika,Hii kuweka kila mwezi utekelezaji wake mgumu labda utie mzigo baada ya muda fulani unapoona umeupata,let say lak2 au 4 n.k unatupia
Kwa anayedunduliza kupeleka monthly ni ishu,labda uwe una mshahara ambao upo fixed kila mwezi