uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Kijito cha utakaso
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kabisaa hii nyimbo ikipata mwimbishaji anaejua kutumia mic na sound ipo vizuri, kwenye piano pale motif hivi then second ipigwe korg 🔥🔥🔥🔥🔥🔥Kuna version ya kinyakyusa ya huu wimbo ni balaa 😀🔥🔥
Umeachana na ukristo ukajiunga na nini?Japo nimeachana na ukristo toka 2007 ila tenzi za rohoni zinafariji sana.
Nyimbo hizo hasa namba 2,3 and 11 are fuel on Fire..
HelloGreating
So ni Muislamu?Japo nimeachana na ukristo toka 2007 ila tenzi za rohoni zinafariji sana.
Nyimbo hizo hasa namba 2,3 and 11 are fuel on Fire..
Tufani inapovumaa sanaa Rohoni mwangu...Tufani inapovuma........[emoji91][emoji91][emoji119]
Nawe umo binti udaga🤣🤣🤣🤣Bwana u sehemu yangu....wimbo bora kabisa
Hii uimbe ukiwa umesalitiwa na mke au mme unaweza kuhisi dunia yote umebaki mwenyewe 🔥🔥🔥🔥🔥Tufani inapovuma........🔥🔥🙌
Jamani nimeumiss udaga + vimambalaNawe umo binti udaga🤣🤣🤣🤣
Hahahahha misasi huko au kwa mawe matatu 😁😁😁😁Jamani nimeumiss udaga + vimambala
I miss home sweet home rock city
Kama wewe ni mlutheri kuna kitabu cha nyimbo za kwaya! Hizo nyimbo zinaimbwa kwa "note" ukizijua kuziimba ni nzuri kuliko maelezo! Hila ni uzembe wa watu kujifunza! Natamani siku moja kuanzisha kituo cha TV mahususi kwa ajili ya nyimbo za kiroho! Watu wengi wana msongo wa mawazo kutokana na kukosa nyimbo za kiroho! Nyimbo nyingi tunazosikia zinapigiria msumari stressMwenyezi Mungu awabariki wote walioshiriki kutunga nyimbo hizi za TENZI ZA ROHONI.
Hizi ni baadhi tu ya nyimbo hizo zinazogusa moyo (Heart touching songs)
1.Mungu ni Pendo
2.Usinipite Mwokozi
3.Salama Rohoni
4.Yesu unipendaye
5.Mwamba wenye imara
6.Nataka nimjue Yesu
7.Bwana u sehemu yangu
8.Ni tabibu
9.Kumtegemea Mwokozi
10.Kaa nami
11.Bwana Mungu nashangaa kabisa.
Wakati mwingi unatembea au uko busy na shughuli zako unajikuta unaimba tu peke yako, unahisi amani ya ajabu ndani ya moyo wako.
Muwe na siku njema wana wa Mungu.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mkuu hili sio swala la ufahamu wa mtu ni swala ambalo ni kanuni ya kawaida tu kwenye Ulimwengu wa roho watu wengi bado hawajajua bado ulimwengu wa Roho unavyo tenda kazi,Duh kazi ipo,kweli kila mtu anaufahamu wake..Tuombe robo mtakatifu atuongoze kabla ya kunena
Hello
Kuna mchungaji mmoja alisema.."pombe zote zitupwe mtoni".....Kisha akawaambia waumini..."tutaimba wimbo NA TUKUTANE MTONI....kanisa Zima likashangilia kwa vifijo😄😄😄1.Shall we gather at the river.