Terrorist attack at Riverside, Nairobi-Kenya: All attackers eliminated and atleast 21 people are dead. Al-Shabab claimed responsibility for the attack

Hakuna hata AL shabab atakaye kamatwa, wote watatoka kirahisi
 
Hahahahaha

Anaekwambia Hakuna Amani ni akina Yericko Nyerere Tena Muda huo katoka kushiba ugali Na Matembele Yupo Tumbo wazi anachokonoa Meno kuondoa mabaki ya maharage Kwenye Meno kashika ki techno chake anabwabwaja tu

🤣🤣🤣🤣🤣
 
Napenda niwasahuri wakenya kuwa makini na hao magaidi. Wameshachanganyikana na wateja wa eneo hilo. Wanachoweza kufanya ni kutega milipuko sehemu nyingine na kujificha sehemu nyingine hivyo mtawaokoa bila ninyi kujua. Hii huwa inawatesa sana intelligensia ya kenya katika kutambua nani ni gaidi na nani si gaidi. Poleni sana majirani zetu.
 
KATIKA JAMBO LA MAANA ALILOFANYA KIKWETE NI KUKATAA KUPELEKA MAJESHI SOMALIA LA SIVYO AL SHABAB WANGEKUWA WAGENI WETU KILA MARA.MUSEVENI YEYE ALIKIMBIA HUKO BORA KENYATA AONDOE MAJESHI SOMALIA.
Msomali kisasi chake balaa
 
Nachofuraia ni jinsi television za kenya zinavyofanya coverage.. Sidhan if ingetokea hapa tz kungekuwa na coverage ya dizaini hii
Acha kuiponda nchi yako wewe kijana mdogo
 
Nachofuraia ni jinsi television za kenya zinavyofanya coverage.. Sidhan if ingetokea hapa tz kungekuwa na coverage ya dizaini hii
hapa meli imezama nungwi ,tbc wanapiga taarab,ma ccm yenyewe yanafatilai coverage kenya kwenye tukio hili yako hapa yanafurahia damu ya wakenya ilivyomwagika wanawacheka eti security ndogo,unadhani sisi tungekuwa na jeshi somalia hao al shabaab wangetuacha?ushawahi kujiuliza ni rahisi kiasi gani kushambulia clubs,mall kma mlimani city hata kwa mabomu ya kutega kwenye gari?aina ya mashambulizi kama ya al shabaab ni magumu kuzuia hata nchi kubwa zimeshindwa,ukiwabana sana wanatumia wale jamaa wa kuvamia na ku run over watu na magari sehemu bize
 
Hivi unaongea kitu gani? hivi unajua ni mara ngapi wamejaribu na wameshindwa na kuishia kulalamika kuwa ni uonevu wa haki za binadamu?

Unakumbuka kilichotokea kule Kibiti au kule kwenye mapango ya Amboni Tanga?

Intelligence & counter-intelligence capabilities za TZ ziko juu sana hilo halina ubishi...
 
WANA
Halafu watadai wanapigania dini na wanampinga USA .
Watu wamekaririshwa chuki za kipumbavu.

Na hata vita vyenyewe ni vya kuvizia innocents

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanao jiita magaidi na wale wanao sema wanawapiga magaidi (nchi za magharibi na vibaraka wao) wote lao ni moja, victim ni mimi na wewe bila kujali dini ...
 
Hivi unaongea kitu gani? hivi unajua ni mara ngapi wamejaribu na wameshindwa na kuishia kulalamika kuwa ni uonevu wa haki za binadamu?

Unakumbuka kilichotokea kule Kibiti au kule kwenye mapango ya Amboni Tanga?

Intelligence & counter-intelligence capabilities za TZ ziko juu sana hilo haling ubishi...
Siri kubwa ya usalama wa Tanzania ni umbeya wetu. Watanzania tuna uwezo mkubwa wa kufuatilia maisha ya wenzetu kiasi kwamba ni ngumu kufanya mipango ya uovu bila hizo habari kufika mashushusu. Kwa maneno mengine hapo ulipo kuna majirani zako wanahabari zako ambazo unadhani ni siri.
 
Hivi unaongea kitu gani? hivi unajua ni mara ngapi wamejaribu na wameshindwa na kuishia kulalamika kuwa ni uonevu wa haki za binadamu?

Unakumbuka kilichotokea kule Kibiti au kule kwenye mapango ya Amboni Tanga?

Intelligence & counter-intelligence capabilities za TZ ziko juu sana hilo halina ubishi...
Wengine ni watoto wa shule hawaelewi yanayotokea nchi hii. Wanalinganisha kadhia ya Amboni na Kibiti ni sawa na siasa uchwara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom