Tesha ni kanjanja tu hakunaga mwanajeshi wa hivi JWTZ

Sasa kuishi kama ndezi kama Polepole bila strategy ndiyo unaona ujanja?
Pole pole hana strategy? We basi hujui unachokiongea na uwezo wako wa critical thinking ni mdogo. We unataka Polepole aingie mtaani kuandamana kwenye mazingira ya hovyo yaliyopo hapa nchini kwa sasa ndio uone ana strategy?

Unamuona tu Polepole ila walio nyuma ya Polepole wamefichwa machoni na akilini mwako ili Lengo kuu la ukimbozi litimie!

POLE SANA MWANANCHI WA KAWAIDA!
 
(✍️ na mchambuzi wetu)
Nimesoma hadi hapo katikati, nikakumbuka taarifa hii ni ya "mchambuzi"? HEEEEeeeeeHEEEEEeeee!

Binafsi sizijui taarifa za Tesha, kama ni za uongo au kuna ukweli ndani yake; lakini huyu mwandishi wa makala hii kujipachika sifa ya kuwa "mchambuzi"?

Uchambuzi unahusiana nini na mtu kuwa "mchaga Tesha", kwa mfano; kuna sifa maalum inayoendana na kuwa mchaga; tena aitwae Tesha!

Nikisoma uchambuzi huo (angalau hadi hapo nilipo ishia); moja kwa moja naona nafuu zaidi kwa taarifa iliyowekwa na anaye jiita Captain Tesha; kuliko mchambuzi huyu ambaye hatofauti uchizi, unazi kwa anayoyataka yeye, na kuwa mchambuzi wa kwelikweli.

Hizi pesa za akina Abduli, akina Roast na za waarabu safari hii zinaliwa bure bure kweli kweli, kwa kuwapa watu wa aina hii ndio wawe watetezi wa maovu yanayofanywa na Samia na Genge lake.

Hata hivyo nisiondoke bila ya kukubaliana naye kiaina; anapozungumzia jeshi letu lilivyo poromoka kutokana na mfano huo alioutumia wa DRC.
Sasa kama anaujua ubovu huo, uchambuzi wake unahusu nini hasa!
 

Captain hajafika NDC bado ni afisa mdogo! Anyway kafungua ukurasa mpya, tutasikia mengi baada ya hapa!
 
Hivi kajuaje kuwa Polepole hana 'strategy'; alimtembelea na kumhoji na kufikia hitimisho kama hilo?

Watu wengine hujipa ujuaji wa mambo ambayo hawana uwezo nayo; na huyo bwana uliyemjibu anafahamika vizuri kwa kujipa sifa hiyo ya ujuaji.
 
Captain hajafika NDC bado ni afisa mdogo! Anyway kafungua ukurasa mpya, tutasikia mengi baada ya hapa!
Hao wa huko "NDC" ni wa hovyo kabisa; ndio wanao nyamazishwa na pesa haramu, na huwezi kusikia lolote toka kwao.
 

Ok mchambuzi unayejua jeshini hakunaga hayo matope uliyoeleza, we una cheo gani huko JWTZ kwanza ili uyape uhalali haya uyajuayo?
 
Captain hajafika NDC bado ni afisa mdogo! Anyway kafungua ukurasa mpya, tutasikia mengi baada ya hapa!
Fuatilia mapinduzi ya kijeshi nchi mbalimbali kama utaona ma General, Kanali kupindua nchi. Kama wapo ni kesi chache sana. Mapinduzi ya kijeshi mara nyingi hufanywa na hawa hawa wanajeshi wa vyeo vya kati na chini.
Maofisa wa juu wa jeshi mara nyingi huwa sehemu ya uongozi mbovu wa serikali na hupewa kila fursa na serikali kwa Lengo la kuilinda serikali ya hovyo iliyopo madarakani. Na hilo ndio linaoendelea hapa Tanganyika
 
You're very simple.

Advertise ya Magomeni uliiona au ulisimuliwa?
Nimeiona, na nina uhakia haiwakilishi watu millioni 60+.
Palepale aalipoishia CDF
Sio rahisi hivyo.
Cherry picking stupid mind from a bogus brain
It's not cherry picking for I specifically asked for your point of view. Your decision will decide.
Which ones and who witnessed those factors you mentioned? Stupid, aren't there not there's you was supposed to say there're
This is the sole reason I prefer to use Kiswahili these days. Factors are everywhere, you simply need a powerful deductive mind to discover them.
 

Unamiss the point mkubwa, sijapinga hayo na wala haikuwa hoja yangu, nilikua najibu bandiko linalosifia NDC kwamba kina kiwango cha kutoa maofisa kama Tesha, huyu kapteni ni genious na risk taker kwa viwango vya kitanzania na yupo juu hata hahitaji kwenda kukariri pale Kunduchi kama wazee waliopita ambao hata hawana impact yoyote kwa manufaa ya nchi bali ni sehemu ya wahuni na decorations zao za "passed NDC" wakiona ni sifa then wanatumika na kusubiri kustaafu!
 

Askari wa kukodiwa kutoka Afrika ya Kusini na nchi zingine za ulaya jinsi walivyoingia Seychelles iliyokuwa inategemea kikosi cha JWTZ kwa ulinzi wa nchi hiyo kisiwa, kikosi hicho kiliongozwa na meja Abdulrahman Shimbo ..

Mamluki askari wa kukodiwa asimulia walivyopata changamoto kutoka maofisa vijana wa JWTZ waliokuwapo Seychelles
TRC Episode 74, Part 05

View: https://m.youtube.com/watch?v=0pEqGkabtBwSource : SABC
 
Huyu mtu ni kichwa ngumu kwelikweli. Yeye ni kiongozi wa kitu gani; sasa tufanye nini, tujadili uongozi wake ambao hatuujui ni wa kitu gani?
Unapojadili hoja, kuna zuio la kutomjadili mleta hoja; hiyo sheria ipo kwenye hiyo "ad hominem logical fallacy" maneno asiyoweza kuyaeleza kiufasaha, lakini hachoki kuyatumia kila mara, kama santuri mbovu?

Yeye kapata wapi taarifa kwamba wanajeshi wanataka kupindua serikali wao moja kwa moja na siyo kuwapa nafasi waTanzania wafanye watakachoona kinafaa? Uwepo wa Jeshi ni kuhakikisha polisi na vyombo vingine haviingilii kuwavuruga wananchi wanaokataa serikali iliyopo
 
Unahangaika kumpa point mwenzio hata haelewi ulichoandika.
Its only 3 weeks left hommy usipasue kichwa.
Waache waandamane tuone how hayo mapinduzi ya kijeshi can be described.
Usipoteze muda kuongea na kenge wasioelewa chochote.
 
JESHI NI LA SISI WANANCHI
 
Hata mimi nimegundua kuwa nawe si mchambuzi bali kanjanja kama huyo unayemtuhumu ukanjanja wakati nawe ni kanjanja mwanangu. Tupe sifa zinazoweza kutuaminisha kuwa siyo kanjanja bali mchambuzi.
 
Mi nimeshangaa watu wengi wanaosema, eti Pole pole amechuja, sijua hana impact yeyote. Ukiwasikiliza Gwajima na Pole pole, utaona wote wanatoa message moja, tena wanaongea kimamlaka hasa. Huyu mjeda naye kaja mssage ile ile ya Pole pole.
 
For true thinkers what matters is what is said not who said or how it is said. I see more of a kanjanja in you than Tesha. Deal with the subject and substance instead of the person mwanangu.
 
Hakuna strategy moja tu ya mapinduzi. Fuatilia mapinduzi mbalimbali hapa duniani yalitokeaje ndio ubwabwaje. Maisha hayana formula usiishi kwa kukariri.
Sasa strategy yenu ipi?

Kwenda viral mitandaoni?

Is that your strategy?
 
Polepole alimpa Samia sharti asigombee ama sivyo atajuta. Polepole alisema Samia akigombea urais, yeye Polepole atamwaga mboga.

Samia kagombea.

Polepole kafanya nini?

Wewe unamuona Polepole ndiyo mwanamapinduzi kabisa?

Huyuhuyu Polepole aliyeshirikiana na Magufuli kununua wanasiasa wa upinzani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…